S Shery Member Joined Jun 16, 2011 Posts 45 Reaction score 3 Aug 10, 2011 #1 Habari memberz! Jamani naomba kuuliza sababu gani inapelekea msichana kuwa na hasira wakati wa period?(kwa baadhi) mimi inanitokea sana,tena hasira inakuwa kwa watu wote na zaidi kwa mr.Husababishwa na nini?ASANTENI,G9T.
Habari memberz! Jamani naomba kuuliza sababu gani inapelekea msichana kuwa na hasira wakati wa period?(kwa baadhi) mimi inanitokea sana,tena hasira inakuwa kwa watu wote na zaidi kwa mr.Husababishwa na nini?ASANTENI,G9T.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Aug 10, 2011 #2 Hormones....
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Aug 11, 2011 #3 sio wote nadhani, mbona mie mamsapu wangu anakuwa normal tu
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,505 Aug 11, 2011 #4 Du! Haya mapya tena wakuu nimepita tu but no experience!
pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Aug 11, 2011 #5 Inategemea na mtu, sababu mi bibie wangu huwa yupo kawaida sana wakati huo.