Sababu nini?

Sababu nini?

Shery

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
45
Reaction score
3
Habari memberz! Jamani naomba kuuliza sababu gani inapelekea msichana kuwa na hasira wakati wa period?(kwa baadhi) mimi inanitokea sana,tena hasira inakuwa kwa watu wote na zaidi kwa mr.Husababishwa na nini?ASANTENI,G9T.
 
sio wote nadhani, mbona mie mamsapu wangu anakuwa normal tu
 
Du! Haya mapya tena wakuu nimepita tu but no experience!
 
Inategemea na mtu, sababu mi bibie wangu huwa yupo kawaida sana wakati huo.
 
Back
Top Bottom