Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja.
Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele.
Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa makini sana. Huwa tunataka mtu anayeweza kusimama hata siku nisipokuwepo.
Tunataka mtu fair na mwenye vipaumbele vya kudumu maishani na sio anasa. Haijalishi una uzuri kiasi gani, unapoteza thamani usipojielewa.