Sababu tano za wanaume wa kabila la kichaga

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Hey
ni vyema mjue SABABU ambazo wanaume wa kabila la Kichaga walizonazo na uweze kuchukua tahadhali nao
hata kama unataka kuishi nao angalia vipengele hivi:
1. Wanaume wa kichaga ni wepesi ktka majukumu hasa yahusuyo pesa
2. Wanaume wa kichaga ni wanywaji sana pombe
3. Wanaume wa kichaga wanapenda totoz weupe na wembamba na ndio mana wapatapo pesa zinaishia huko
4. Wanaume wa kichaga wanapenda sana lugha zao hata wakiwa kumbwani wao ni lugha kwa kwenda mbele
5. Wanajenga makazi mazuri kwao kwanza na kisha ughaibuni yaani Dar center
ambazyo ni baadhi tu ya sababu tano za wanaume wa kabila la wachaga. kama unazijua zingine niahabarishe
 
uwelewiki, kuanzia heading mpaka maelezo yako. Sabubu 5 za nini? Au umekunywa?
 
Sababu tano za what? Au ulimaanisha tabia tano?
 
haha mbona hizi hata mimi mmasai ninazo kasoro kujenga home tu! naelekea huko
 
Chalii angu mböna unakuwa wa loooong...! hivyo acha uxeeenge jamaa angu!
 
sababu na tabia siku hizi kumbe zinafanana?
naomba sababu tano za wadengereko?

kishwahili badala ya kukua kinaungana.
 
Tafakari kabla ya kuandika. Na ukisha write please find mtu wa kuedit kazi yako unazjifedhehesha
 
Hey
ni vyema mjue SABABU ambazo wanaume wa kabila la Kichaga walizonazo na uweze kuchukua tahadhali nao
hata kama unataka kuishi nao angalia vipengele hivi:
1. Wanaume wa kichaga ni wepesi ktka majukumu hasa yahusuyo pesa
2. Wanaume wa kichaga ni wanywaji sana pombe
3. Wanaume wa kichaga wanapenda totoz weupe na wembamba na ndio mana wapatapo pesa zinaishia huko
4. Wanaume wa kichaga wanapenda sana lugha zao hata wakiwa kumbwani wao ni lugha kwa kwenda mbele
5. Wanajenga makazi mazuri kwao kwanza na kisha ughaibuni yaani Dar center
ambazyo ni baadhi tu ya sababu tano za wanaume wa kabila la wachaga. kama unazijua zingine niahabarishe

Penye lime color nadhani ulikuwa unamaanisha tabia.
Penye nyekundu hapo, tangu lini Mynakyusa na mchaga mumekuwa watani, pia kwenye hili la kujenga nyumbani tofauti yenu ni ipi?
 
alaaa.....mbona kama hizi ni sifa au tabia...au alikuwa unamaanisha nini mekuu....tulisa akili bana wakati unata unataka kuru kushara thiredi,
 
Hey
ni vyema mjue SABABU ambazo wanaume wa kabila la Kichaga walizonazo na uweze kuchukua tahadhali nao
hata kama unataka kuishi nao angalia vipengele hivi:
1. Wanaume wa kichaga ni wepesi ktka majukumu hasa yahusuyo pesa
2. Wanaume wa kichaga ni wanywaji sana pombe
3. Wanaume wa kichaga wanapenda totoz weupe na wembamba na ndio mana wapatapo pesa zinaishia huko
4. Wanaume wa kichaga wanapenda sana lugha zao hata wakiwa kumbwani wao ni lugha kwa kwenda mbele
5. Wanajenga makazi mazuri kwao kwanza na kisha ughaibuni yaani Dar center
ambazyo ni baadhi tu ya sababu tano za wanaume wa kabila la wachaga. kama unazijua zingine niahabarishe

Karibu mae!
 
Ni kwel, japo maelezo yako hayana mpangilio mzuri
 
Hey mi naona miss ladyfuraha amenichanganya kwa sababu alizotoa.ila ninazo jua mimi ni 1.wachangamfu na wenye kupenda biashara. 2.wazuri kimuonekano. 3.si walevi kama wa kurya na wengine. 4.wenye huruma sana. 5.wenye uwezo kiakili. Nadhani nimewaza kuwaelezea hawa akina mangi.if is there are any comment just tell me! Enjoy your present moment.
 
Back
Top Bottom