Hebu tuletee prediction yako ya yanga na coastal ili tuzifanyie tathiminiAssalam aleykhum.
Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%
Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
*Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
*Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
*Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.
Ft: Timu ya Wanachi 2...... vs polisi 0000
# Magema Jr
SportsFire
Pole sana kaka.Assalam aleykhum,
Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
- Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
- Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
- Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.
Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0
# Magema Jr
SportsFire
Assalam aleykhum,

Jana ulisema simba inafungwa 2 bila leo umehamia kwenye Timu yako ya utopolo kupoza maumivu