Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mkuu hivi hua unabet? Kama hufanyi hivyo basi usiingie kabisa huko, utakua tu chuma ulete ya mhindi.Assalam aleykhum,
Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
- Yanga wana presha ya kubeba ubingwa hivyo wachezaji wana morali na mood ya hali ya juu
- Mechi iliyopita Wananchi walipoteza hivyo hawana huo ujinga wa kupoteza tena.
- Mechi hii ina athari kwa Cedric Kaze hivyo sio rahisi kwake akubali apoteze tenaaa.
Ft: Timu ya Wanachi 2 vs polisi 0
# Magema Jr
SportsFire