Sababu Tatu Kuntu za Young African Kushinda mechi ya leo vs Polisi Tanzania

Yaani ni vile tu tunaogopa kukufuru... ila samtaimz mtu huwa unajiuliza kwanini wababa wengine hawakutumia condom?
 
Enhe vipi ndoto yako imetimia au nadhani mechi imekwisha?
 
unajipiga kidole afu unanusa mwenyewe..
 
Mkuu wangu All - Rounder kwa heshima na taadhima nakutunuku udaktari wa heshima huna mpinzani kwenye mada penyezi heko kwako
 
Nabii nakusalimia😂😂😂😂😂😂😂😆😆
 
Mqema hauna hata aibu!! Jana ulikimbia uzi na leo umekimbia uzi wako mwenyewe!! Ni mtu mwenye kichwa kama cha mwendawazimu tu ndiye anaweza kuweka shilingi yake kuwa utopolo!!
 
Huu ndio utabiri wa Magema Jr anaodai umetimia kwa asilimia 56:
- Red card kutolewa
-Sare ya magoli
-Simba kufungwa kabisa!
Hakuna hata moja Kati ya hayo matatu yaliyotokea. Utabiri umefanikiwa kwa asilimia sifuri, 0%!
Leo pia utabiri wako umefanikiwa kwa asilimia sifuri, 0%!!
Inabidi uwe na kichwa kama cha mwendawazimu kuweka shilingi yako kwa utopolo!!
 
Hilo goli lingekuwa la polisi utopolo wangeitisha press conference na kutishia kujitoa!! Renzo na Magema mpo?
 
Fala la mpira
 
Mqema hauna hata aibu!! Jana ulikimbia uzi na leo umekimbia uzi wako mwenyewe!! Ni mtu mwenye kichwa kama cha mwendawazimu tu ndiye anaweza kuweka shilingi yake kuwa utopolo!!
Mkuu japo kuteleza si kuanguka,lakin naamini nimefail katika hili,japo upumbafu wa wananchi umenifelisha katika hili... any way, Kwa heshima ya mchezo wa soka,naomba kustaafu kwa mda maswala haya🤔😐
 
Ahsante kwa kufuatilia Nyuzi zangu..
Nasitaafu kwa mda jamani.. Nimejisikia vibaya hataree 😞😞
 
Nabiii unajua sana kutabiri

Leo Yanga kashinda [emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…