Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Asante,ila sheria hii ni kandamizi kwa marehemu na mwenye mali.Mwenye mali angeachwa amue yeye nani wa kumpa.Na sioni sababu kwa nini watoto wakubwa wapewe urithi,kwa
kuw hawa wanaweza kujitegemea.Urithi wangepewa watoto ambao bado hawajaweza kujitegemea.
Waliotunga sheria hizi frankly wana matatizo ya kufikiri.Urithi anapewa ndugu,amechangia nini katika kutafuta hiyo mali.To me logically mali yangu ni yangu na mke wangu,huyu ndiye tumesumbuka naye kuipata,wengine inawahusu nini,infact hata watoto kwa nini wapewe urithi hasa kama ni wakubwa.Watafute yao kama mimi nilivyotafuta.Logically angeachiwa mwenye mali aamue nani ampe urithi.Kutungia sheria mali ya mtu is not fair.Hii ni kuleta migongano kati ya mjane,ndugu na watoto.
Na mama yao,ambaye according to me ndiye anayepaswa kurithi mali za mmewe zote.Watoto wakubwa wakatafute zao.Mmmm
Sasa Kama hawapo watoto wadogo??
Je hao watoto wadogo wanatunzwa na Nani??
Wewe Jack tulia dawa ikuingie!There is NO SUCH THING AS MRITHI HALALI
Watu wangekuwa hawana haja ya kuandika wosia kama sheria zinataja nani ni MRITHI HALALI
Weka nukuu ya sheria inayosema MRITHI HALALI WA MAREHEMU NI FULANI NA FULANI NA SHANGAZI NA MJUKUU NA KAKA....
Wewe Jack tulia dawa ikuingie!
Asante,ila sheria hii ni kandamizi kwa marehemu na mwenye mali.Mwenye mali angeachwa amue yeye nani wa kumpa.Na sioni sababu kwa nini watoto wakubwa wapewe urithi,kwa
kuw hawa wanaweza kujitegemea.Urithi wangepewa watoto ambao bado hawajaweza kujitegemea.
Waliotunga sheria hizi frankly wana matatizo ya kufikiri.Urithi anapewa ndugu,amechangia nini katika kutafuta hiyo mali.To me logically mali yangu ni yangu na mke wangu,huyu ndiye tumesumbuka naye kuipata,wengine inawahusu nini,infact hata watoto kwa nini wapewe urithi hasa kama ni wakubwa.Watafute yao kama mimi nilivyotafuta.Logically angeachiwa mwenye mali aamue nani ampe urithi.Kutungia sheria mali ya mtu is not fair.Hii ni kuleta migongano kati ya mjane,ndugu na watoto.
Na mama yao,ambaye according to me ndiye anayepaswa kurithi mali za mmewe zote.Watoto wakubwa wakatafute zao.
Wewe Jack tulia dawa ikuingie!
dawa iniingie Jack wakati kwenye hili sakata Jack ndio katusua? we chizi kweli hata huelewi ni nani analia kwenye hili sakata, how can you be such a dimwit???
Hahahaha imebidi nicheke tu.Wewe Jack tulia dawa ikuingie!