Sababu tatu za kisheria za kumnyima urithi mrithi halali

Sababu tatu za kisheria za kumnyima urithi mrithi halali

Nchini ufaransa baba aliachana na mke wake, kwa muda mfupi tu yule mwanamke akaolewa na mtoto wa yule baba, vip hapo urithi utaendaje kama ingekuwa hapa kwetu?
 
Mmmm

Sasa Kama hawapo watoto wadogo??

Je hao watoto wadogo wanatunzwa na Nani??
Asante,ila sheria hii ni kandamizi kwa marehemu na mwenye mali.Mwenye mali angeachwa amue yeye nani wa kumpa.Na sioni sababu kwa nini watoto wakubwa wapewe urithi,kwa
kuw hawa wanaweza kujitegemea.Urithi wangepewa watoto ambao bado hawajaweza kujitegemea.
Waliotunga sheria hizi frankly wana matatizo ya kufikiri.Urithi anapewa ndugu,amechangia nini katika kutafuta hiyo mali.To me logically mali yangu ni yangu na mke wangu,huyu ndiye tumesumbuka naye kuipata,wengine inawahusu nini,infact hata watoto kwa nini wapewe urithi hasa kama ni wakubwa.Watafute yao kama mimi nilivyotafuta.Logically angeachiwa mwenye mali aamue nani ampe urithi.Kutungia sheria mali ya mtu is not fair.Hii ni kuleta migongano kati ya mjane,ndugu na watoto.
 
Na vipi Kama wosia haukugawa Mali kwa usawa?mfano kumekuwa na upendeleo kwa mtoto yule kindakindaki. Wosia unaweza kuvunjwa??
 
There is NO SUCH THING AS MRITHI HALALI

Watu wangekuwa hawana haja ya kuandika wosia kama sheria zinataja nani ni MRITHI HALALI

Weka nukuu ya sheria inayosema MRITHI HALALI WA MAREHEMU NI FULANI NA FULANI NA SHANGAZI NA MJUKUU NA KAKA....
Wewe Jack tulia dawa ikuingie!
 
Wewe Jack tulia dawa ikuingie!

dawa iniingie Jack wakati kwenye hili sakata Jack ndio katusua? we chizi kweli hata huelewi ni nani analia kwenye hili sakata, how can you be such a dimwit???
 
Wewe ndio umeandika ule wosia na kumpa Baba wa watu atie sahihi
Asante,ila sheria hii ni kandamizi kwa marehemu na mwenye mali.Mwenye mali angeachwa amue yeye nani wa kumpa.Na sioni sababu kwa nini watoto wakubwa wapewe urithi,kwa
kuw hawa wanaweza kujitegemea.Urithi wangepewa watoto ambao bado hawajaweza kujitegemea.
Waliotunga sheria hizi frankly wana matatizo ya kufikiri.Urithi anapewa ndugu,amechangia nini katika kutafuta hiyo mali.To me logically mali yangu ni yangu na mke wangu,huyu ndiye tumesumbuka naye kuipata,wengine inawahusu nini,infact hata watoto kwa nini wapewe urithi hasa kama ni wakubwa.Watafute yao kama mimi nilivyotafuta.Logically angeachiwa mwenye mali aamue nani ampe urithi.Kutungia sheria mali ya mtu is not fair.Hii ni kuleta migongano kati ya mjane,ndugu na watoto.
 
Ahsante kwa elimu nzuri 1.Baba kafariki watoto wa ndoa wako saba lakini amezaa nje ya ndoa watoto wengine 8 kwa wamama tofauti tofauti na walikuwa wanajulikana kwa hawa watoto wa ndoa na mama yao huyu wa ndoa.Baba.hakuacha wosia wowote wa maandishi.Kafariki kaacha Mali nyingi huku nyuma timbwili linatokea je sheria inasemaje? 2.Watoto wa kike wana nafasi gani kwenye urithi maana wanakuwa wameolewa familia ingine Bashir Yakub,
 
dawa iniingie Jack wakati kwenye hili sakata Jack ndio katusua? we chizi kweli hata huelewi ni nani analia kwenye hili sakata, how can you be such a dimwit???

Jackie katusua nini sasa ? Wakati 70% ya IPP inamilikiwa na Regina na mdogo wake, 30% ni Mzee mengi ( ndio inayogombewa) Jackie atulie tu asubili huruma ya Mahakama , amecheza kifala
 
Back
Top Bottom