playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Asa mbona mnaua viongozi wa chama kilichojifia?Chadema ilijifia siku nyingi Mkuu baada ya kuondoka Dr slaa
Hii tuliyonayo ni white elephant
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa mbona mnaua viongozi wa chama kilichojifia?Chadema ilijifia siku nyingi Mkuu baada ya kuondoka Dr slaa
Hii tuliyonayo ni white elephant
Hao wezi na mafisadi ni wa chama gani?Chama chochote cha siasa huwa na agenda yake ambayo huwa ndio roho ya chama
Chadema kipindi cha Dk Slaa kilikuwa na agenda tena nzito ambayo ilikubalika na ilitikisa ndani na nje ikipigiwa makofi ndani ya nchi na nje ya nchi.La kujifunza kwa Dk Slaa ni kuwa Dk Slaa hakutetea maslahi binafsi alijikita kwenye hoja moja kuu mno ya kupambana na mafisadi wa ndani wezi Wa pesa za wafadhili na wakopeshaji wa nje.
Wafadhili na wakopeshaji wa nje wakaiona Chadema kama chama bora kinachohakikisha mikopo na misaada ya wafadhili wa nje haifujwi ndani ya nchi kikapata uungwaji mkubwa wa ndani na nje .Wafadhili na wakopeshaji wakaiona Chadema kama jicho lao ndani ya nchi la kuhakikisha pesa zao haziibiwi wala kufujwa.
Sasa hivi Chadema kimebaki tu chama cha majungu na vitu hewa vya kutunga.
Hawana agenda wamekaa tu kudakia dakia vitu na matukio tofauti na kipindi cha Dk Slaa ambaye kwake agenda kuu haikuwa kupambana na serikali, bali kupambana na wezi mafisadi wa fedha za wafadhili na wakopeshaji wa nje.
Kama mbwa koko bila agenda yeyote ya maana ya kisiasa ya kueleweka ndani ya nchi na nje ya nchi akawa focused na serious kwenye hili bila kuyumba, akasaidia hadi CCM kujisafisha na kuwapiga mateke nje mafisadi papa akina Lowassa.
Chadema ya sasa agenda yao ya maana in ipi anayeijua, tafadhali Mimi naiona haina agenda yoyote zaidi ya kudakia dakia tu matukio na kuyatolea matamko.
Sio siri Chadema choka mbaya ikihitaji wabadili uongozi waweke damu mpya zenye fiktlra mpya pengine zingekuja na new agenda ya kueleweka kwa wananchi na wafadhili na wakopeshaji.
Hivi wewe kweli unaona ni sawa kuwa na chama kimoja tu kikubwa nchini kikitawala tangu 1961 ili nini? Watanzania mnaua upinzani halafu matokeo yake ni viongozi kama tulionao wanaacha watu wafe eti tunaogopa biashara zitakufa. Na tena wamejifungia ndani kwani wanajua hakuna wa kuwaambia kitu. Mtu yeyote aliyopo ccm iko hivi; kama sio mnufaika kwa kupewa cheo, pesa, nk, basi ni zuzu.Chama chochote cha siasa huwa na agenda yake ambayo huwa ndio roho ya chama
Chadema kipindi cha Dk Slaa kilikuwa na agenda tena nzito ambayo ilikubalika na ilitikisa ndani na nje ikipigiwa makofi ndani ya nchi na nje ya nchi.La kujifunza kwa Dk Slaa ni kuwa Dk Slaa hakutetea maslahi binafsi alijikita kwenye hoja moja kuu mno ya kupambana na mafisadi wa ndani wezi Wa pesa za wafadhili na wakopeshaji wa nje.
Wafadhili na wakopeshaji wa nje wakaiona Chadema kama chama bora kinachohakikisha mikopo na misaada ya wafadhili wa nje haifujwi ndani ya nchi kikapata uungwaji mkubwa wa ndani na nje .Wafadhili na wakopeshaji wakaiona Chadema kama jicho lao ndani ya nchi la kuhakikisha pesa zao haziibiwi wala kufujwa.
Sasa hivi Chadema kimebaki tu chama cha majungu na vitu hewa vya kutunga.
Hawana agenda wamekaa tu kudakia dakia vitu na matukio tofauti na kipindi cha Dk Slaa ambaye kwake agenda kuu haikuwa kupambana na serikali, bali kupambana na wezi mafisadi wa fedha za wafadhili na wakopeshaji wa nje.
Kama mbwa koko bila agenda yeyote ya maana ya kisiasa ya kueleweka ndani ya nchi na nje ya nchi akawa focused na serious kwenye hili bila kuyumba, akasaidia hadi CCM kujisafisha na kuwapiga mateke nje mafisadi papa akina Lowassa.
Chadema ya sasa agenda yao ya maana in ipi anayeijua, tafadhali Mimi naiona haina agenda yoyote zaidi ya kudakia dakia tu matukio na kuyatolea matamko.
Sio siri Chadema choka mbaya ikihitaji wabadili uongozi waweke damu mpya zenye fiktlra mpya pengine zingekuja na new agenda ya kueleweka kwa wananchi na wafadhili na wakopeshaji.
Mpka leo yupo CCMLowasa alikuwa chama gani fisadi mkubwa aliyetajwa na chadema mwenyewe?