Sababu ya CHADEMA kutokuwa na mvuto kwa wafadhili wa mataifa ya nje

Umeshasikia wapi vyama vya kisiasa vikifadhiliwa? CCM inafadhiliwa?

Vingekuwa inafadhiliwa si mngekuwa mnasema CDM inatumika na mabeberu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatuliza upepo kwa kuleta uzi wenye maidhui ya pumba. corona is real keep playing.
Hata kwenye nazishi ya MTU watu mbona huongea habari za mechi za simba na yanga ? Unashangaa nini
 
Kesho utakuja kusema Chadema inafadhiliwa na mabeberu na kwamba mabeberu hawaitakii mema nchi yetu!Ila leo kwasababu angle ya stroy yako ni tofauti unasema hawana ufadhili wa mabeberu!
 
Hao wezi na mafisadi ni wa chama gani?
 
Hivi wewe kweli unaona ni sawa kuwa na chama kimoja tu kikubwa nchini kikitawala tangu 1961 ili nini? Watanzania mnaua upinzani halafu matokeo yake ni viongozi kama tulionao wanaacha watu wafe eti tunaogopa biashara zitakufa. Na tena wamejifungia ndani kwani wanajua hakuna wa kuwaambia kitu. Mtu yeyote aliyopo ccm iko hivi; kama sio mnufaika kwa kupewa cheo, pesa, nk, basi ni zuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…