Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Nani asiyejua kuwa Mwinyi ndiye aliyepanda hii mbegu ya ufisadi inayolisumbua taifa? Bahati yake nzuri huwa hatajwi tajwi. Hata huu msukule wa Kikwere unaotusumbua aliuumba yeye alipoupa uwaziri. Ila wabongo wajifunze unapofika uchaguzi wasichague tena wababaishaji kama huyu tuliye naye. Yeye pesa ikiporomoka hajali bali kuendelea kutanua na shostie wake. Sarafu hata itokomee haimuhusu. Yake ni matanuzi.
Mzee rukhsa sio? Si wanasema mwanae ndio anatarajiwa kuchukua nchi then baadaye atanwachia Riz1. Yaani wamejipangia miaka 25 na ushee.