Mimi ni mwanafunzi katika chuo Fulani Hapa Tanzania
Mwezi wa nne mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada fulani ambaye kiukweli nilimpenda sana,nina mpenda sana na nitazidi kumpenda sana! Wazazi wangu nilishiwambia kuhusu huyu dada na uhusiano wetu na ndugu zangu pamoja na marafiki zangu!
Sasa Jana kaja chumbani kwangu na kuomba kuongea na mimi nikamruhu na kuanza kuniambia kuwa mwaka Jana boyfriend alie kuwa nae aliwahi kumpa Mimba alivyo mpa Mimba kwa sababu alikuwa bado hajaanza hata chuo Aliamua kuitoa na ikatoka vizuri tuuu lakini kuna tatizo kidogo ambalo lilitokea na daktari akamshauri asifanye mapenzi tena hadi hapo mambo yatakapo kuwa Vizuri lakini bahati mbaya Alikaidi! Siku chache mbele aliendelea kusex na huyo jamaa! Akawa anapata sana matatizo ya tumbo akarudi tena kwa daktari!
Daktari alimwambia kuwa Kizazi kimeshuka sana na kinaweza mletea Cancer kwa sababu tuu alikimbilia kufanya Sex tena kabla mambo hayajakaa vizuri
Alivyo kutana na mimi baada ya kuachana na yule boyfriend wake tuliendelea na maisha mimi nikiwa siyajui hayo so tulisex kama kawaida na Ninampenda mnooooo! Juzi kati tena tukiwa holday! alienda hospital na kukutana na Daktari sasa daktari akwambia vilevile kuwa kizazi kimeshuka Sana na anako elekea anaweza pata matatizo makubwa yanayoweza kuja kupelekea kutozaa
Alinisimuli haya yote akiwa analia sana na kuniambia yeye kuwa kwa sasa anawachukia wanaume wote hapa Duniani hata kusikia tena kuhusu mapenzi hata mimi pia akiniona anapatwa na hasira ingawa sijamkosea chochote na kuniomba tuachane! kuwa moyo wake utakuwa na amani kuliko kuendelea kuwa na mimi!
Mimi kwasababu nampenda sana tena sana nikamuomba kuwa kwasababu issue ni kuwa wewe kwa sasa usifanye mapenzi basi mimi naomba tusiachane Ila endelea kuwa na mimi tukihangaika kutatua hili tatizo hadi pale utakapo pona lakini Kanikatalia katakata na kunitaka tuachane na nisimtext chochote kuhusu mapenzi wala hawezi kukaa zaidi ya Dakika 10 na mwanaume wakiwa wanaongea na kaniahidi kuwa Tatizo likija kuisha atanitafuta ili tuendelee na aaisha kama Mungu akijalia Ingawa haijulikani ni lini
Kanitaka pia kutomwambia mtu yeyote kuwa mimi na yeye tumeachana tuache hvyo hivyo watu waendelee kujua kuwa mimi na yeye bado tupo pamoja Nimejaribu kumsisitizia sana kubadili msimamo wake lakini Juhudi zangu zimegonga Mwamba!
Tafadhari nipo hapa kuomba ushauri nifanyaje na huyu dada kiukweli nampenda sana hata yeye kanambia nikweli nilimpenda sana lakini kwa hayo yalio mkuta hawezi kuendelea kuwa na mimi na kuniomba nimuombee Sana ili aweze Kupona
Na kama kuna mtu alishawahi kutana na hili tatizo na akapa Matibabu please naomba anisaidie kwa jinsi navyo mpenda mimi nawiwa kumtafutia Matibabu kwa njia yoyote na kwa gharama yoyote ile! Mwenye kujua Matibabu ya hii issue nae Plz asisite kunambia nami nitamtafuta
Naombeni ushauri tafadhari nampenda sana tena sana!