Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

Zungo

Member
Joined
Nov 24, 2015
Posts
18
Reaction score
32
Mimi ni mwanafunzi katika chuo Fulani Hapa Tanzania

Mwezi wa nne mwaka huu niliingia katika mahusiano na dada fulani ambaye kiukweli nilimpenda sana,nina mpenda sana na nitazidi kumpenda sana! Wazazi wangu nilishiwambia kuhusu huyu dada na uhusiano wetu na ndugu zangu pamoja na marafiki zangu!

Sasa Jana kaja chumbani kwangu na kuomba kuongea na mimi nikamruhu na kuanza kuniambia kuwa mwaka Jana boyfriend alie kuwa nae aliwahi kumpa Mimba alivyo mpa Mimba kwa sababu alikuwa bado hajaanza hata chuo Aliamua kuitoa na ikatoka vizuri tuuu lakini kuna tatizo kidogo ambalo lilitokea na daktari akamshauri asifanye mapenzi tena hadi hapo mambo yatakapo kuwa Vizuri lakini bahati mbaya Alikaidi! Siku chache mbele aliendelea kusex na huyo jamaa! Akawa anapata sana matatizo ya tumbo akarudi tena kwa daktari!

Daktari alimwambia kuwa Kizazi kimeshuka sana na kinaweza mletea Cancer kwa sababu tuu alikimbilia kufanya Sex tena kabla mambo hayajakaa vizuri

Alivyo kutana na mimi baada ya kuachana na yule boyfriend wake tuliendelea na maisha mimi nikiwa siyajui hayo so tulisex kama kawaida na Ninampenda mnooooo! Juzi kati tena tukiwa holday! alienda hospital na kukutana na Daktari sasa daktari akwambia vilevile kuwa kizazi kimeshuka Sana na anako elekea anaweza pata matatizo makubwa yanayoweza kuja kupelekea kutozaa

Alinisimuli haya yote akiwa analia sana na kuniambia yeye kuwa kwa sasa anawachukia wanaume wote hapa Duniani hata kusikia tena kuhusu mapenzi hata mimi pia akiniona anapatwa na hasira ingawa sijamkosea chochote na kuniomba tuachane! kuwa moyo wake utakuwa na amani kuliko kuendelea kuwa na mimi!

Mimi kwasababu nampenda sana tena sana nikamuomba kuwa kwasababu issue ni kuwa wewe kwa sasa usifanye mapenzi basi mimi naomba tusiachane Ila endelea kuwa na mimi tukihangaika kutatua hili tatizo hadi pale utakapo pona lakini Kanikatalia katakata na kunitaka tuachane na nisimtext chochote kuhusu mapenzi wala hawezi kukaa zaidi ya Dakika 10 na mwanaume wakiwa wanaongea na kaniahidi kuwa Tatizo likija kuisha atanitafuta ili tuendelee na aaisha kama Mungu akijalia Ingawa haijulikani ni lini

Kanitaka pia kutomwambia mtu yeyote kuwa mimi na yeye tumeachana tuache hvyo hivyo watu waendelee kujua kuwa mimi na yeye bado tupo pamoja Nimejaribu kumsisitizia sana kubadili msimamo wake lakini Juhudi zangu zimegonga Mwamba!

Tafadhari nipo hapa kuomba ushauri nifanyaje na huyu dada kiukweli nampenda sana hata yeye kanambia nikweli nilimpenda sana lakini kwa hayo yalio mkuta hawezi kuendelea kuwa na mimi na kuniomba nimuombee Sana ili aweze Kupona

Na kama kuna mtu alishawahi kutana na hili tatizo na akapa Matibabu please naomba anisaidie kwa jinsi navyo mpenda mimi nawiwa kumtafutia Matibabu kwa njia yoyote na kwa gharama yoyote ile! Mwenye kujua Matibabu ya hii issue nae Plz asisite kunambia nami nitamtafuta

Naombeni ushauri tafadhari nampenda sana tena sana!
 
Shtuka wewe, kaona boom la manati sahivi.... Ataishi kwa tabu, kwani jina lako limetoka?
 
NEVER TRUST A WOMAN EVEN IF SHE IS NAKED.....

ww una uhakika gani km kweli ana tatizo hilo??? ushaenda nae kwa daktari kupima mkiwa pamoja?

kwann hataki watu wajue km mmeachana? anaficha nn??

MWAMBIE AENDE NYUMBA YA IBADA AKATUBU KWA DHAMBI YA KUUA KIUMBE KISICHO NA HATIA....

HALAFU...... MWANAMKE KM HATAKI MWACHE AENDE ZAKE!!
 
Shtuka wewe, kaona boom la manati sahivi.... Ataishi kwa tabu, kwani jina lako limetoka?

Boom Sio tatizo Sababu tangu uhusiano wetu uanze hakuna alie wahi kumuomba mwenzie pesa wala Vocha ni mtu anaye jiweza na mimi najiweza kiupande wangu!
 
Boom Sio tatizo Sababu tangu uhusiano wetu uanze hakuna alie wahi kumuomba mwenzie pesa wala Vocha ni mtu anaye jiweza na mimi najiweza kiupande wangu!

"mtu anaejiweza" mwanamke huyo????
Kijana it seems wanawake huwajui vizuri unajua sketi zao tu pole.....kwa kifupi hakutaki na possible ana mtu kama sio watu, shukuru kakuweka wazi kazi kwako endelea kukomaa au uangalie ustaarabu mwingine
 
"mtu anaejiweza" mwanamke huyo????
Kijana it seems wanawake huwajui vizuri unajua sketi zao tu pole.....kwa kifupi hakutaki na possible ana mtu kama sio watu, shukuru kakuweka wazi kazi kwako endelea kukomaa au uangalie ustaarabu mwingine

Simply, huyo binti ni mtaalamu wa kupack watu zaidi ya Jose Mourinho anvyopack bus!!

Namshauri dogo amweleze kuwa amepata daktari bingwa na kuwa angependa ampeleke ili hata wakiachana dada awe amepona. Niko tayari kuwaunganisha na daktari tena kwa gharama zangu...lol!!
 
"mtu anaejiweza" mwanamke huyo????
Kijana it seems wanawake huwajui vizuri unajua sketi zao tu pole.....kwa kifupi hakutaki na possible ana mtu kama sio watu, shukuru kakuweka wazi kazi kwako endelea kukomaa au uangalie ustaarabu mwingine

Upole Mpendwa, upole. Wanawake kumbe noma eh?
 
Simply, huyo binti ni mtaalamu wa kupack watu zaidi ya Jose Mourinho anvyopack bus!!

Namshauri dogo amweleze kuwa amepata daktari bingwa na kuwa angependa ampeleke ili hata wakiachana dada awe amepona. Niko tayari kuwaunganisha na daktari tena kwa gharama zangu...lol!!

Babu kwa haraka haraka huyu jamaa kazidiwa kete na huyo dada
 
Mbona utadhani amekukinai Hana shida nawe tens hiyo mdada n muongo achana nae tupo wengi hakua riziki yako huyo
 
Muda sii mrefu utasikia ndoa yake.
Yeye kakudanganya hivo tu ila nyuma ya pazia kapata mume
 
Mkuu zungo tatua tatizo la mchumba wako kwa kutumia akiri na maarifa usitumie mapenzi na hisia.
Unasema unampenda lkn hujaona cheti chake cha ugonjwa wake na wala hujawahi ambatana nae hospital kuonyesha unajari na unaumia kwa tatizo alilonalo.
Tumia akiri hisia baadae
 
Mimi ni mwanafunzi katika chuo Fulani Hapa TanzaniaMwezi wa nne mwaka huu niliingia katika Mahusiano na dada fulani Ambaye kiukweli nilimpenda sana,nina mpenda sana na nitazidi kumpenda sana! Wazazi wangu nilishiwambia kuhusu huyu dada na uhusiano wetu na ndugu zangu pamoja na marafiki Zangu! Sasa Jana kaja Chumbani kwangu na kuomba kuongea na mimi nikamruhu na kuanza kuniambia kuwa mwaka Jana boyfriend alie kuwa nae aliwahi kumpa Mimba alivyo mpa Mimba kwa sababu alikuwa bado hajaanza hata chuo Aliamua kuitoa na ikatoka vizuri tuuu Lakini kuna tatizo kidogo ambalo lilitokea na daktari akamshauri asifanye Mapenzi tena hadi hapo mambo yatakapo kuwa Vizuri lakini bahati mbaya Alikaidi! Siku chache mbele aliendelea kusex na huyo jamaa! Akawa anapata sana matatizo ya tumbo akarudi tena kwa daktari!Daktari alimwambia kuwa Kizazi kimeshuka sana na kinaweza mletea Cancer kwa sababu tuu alikimbilia kufanya Sex tena kabla mambo hayajakaa vizuriAlivyo kutana na mimi baada ya kuachana na Yule boyfriend wake Tuliendelea na maisha mimi nikiwa siyajui hayo so tulisex kama kawaida na Ninampenda Mnooooo! Juzi kati tena tukiwa holday! alienda hospital na kukutana na Daktari sasa daktari akwambia vilevile kuwa kizazi kimeshuka Sana na anako elekea anaweza pata matatizo makubwa yanayoweza kuja kupelekea kutozaa Alinisimuli haya yote akiwa analia sana na kuniambia yeye kuwa kwa sasa anawachukia wanaume wote hapa Duniani hata kusikia tena kuhusu Mapenzi hata mimi pia akiniona anapatwa na hasira ingawa sijamkosea chochote na kuniomba tuachane! kuwa moyo wake utakuwa na Amani kuliko kuendelea kuwa na mimi! Mimi kwasababu Nampenda Sana tena Sana nikamuomba kuwa kwasababu issue ni kuwa wewe kwa sasa usifanye mapenzi basi mimi naomba tusiachane Ila endelea kuwa na mimi tukihangaika kutatua hili tatizo hadi pale utakapo Pona Lakini Kanikatalia katakata Na kunitaka tuachane na nisimtext chochote kuhusu Mapenzi wala hawezi kukaa zaidi ya Dakika 10 na mwanaume wakiwa wanaongea na kaniahidi kuwa Tatizo likija kuisha atanitafuta ili tuendelee na Maisha kama Mungu akijalia Ingawa haijulikani ni liniKanitaka pia kutomwambia mtu yeyote kuwa mimi na yeye tumeachana tuache hvyo hvyo watu waendelee kujua kuwa mimi na yeye bado tupo pamoja Nimejaribu kumsisitizia sana kubadili Msimamo wake lakini Juhudi zangu zimegonga Mwamba!Tafadhari nipo hapa kuomba ushauri nifanyaje na Huyu dada kiukweli nampenda sana hata yeye kanambia nikweli nilimpenda sana lakini kwa hayo yalio mkuta hawezi kuendelea kuwa na Mimi na kuniomba nimuombee Sana ili aweze KuponaNa kama kuna mtu alishawahi kutana na hili Tatizo na akapa Matibabu please Naomba anisaidie Kwa jinsi navyo mpenda Mimi nawiwa kumtafutia Matibabu kwa njia yoyote na kwa Gharama yoyote ile! Mwenye kujua Matibabu ya hii issue nae Plz asisite kunambia nami nitamtafuta Naombeni ushauri Tafadhari Nampenda sana tena Sana!
Tunaopenda Kurukaruka Naona Taarifa Yako Hii HAITUHUSU SANA Bali Nadhani Inawahusu WANYONGE Wenzio Ambao MNATAWALIWA Na MAPENZI Huku MKIGONGEWA Tu Mademu Na Wake Zenu.
 
Pole.... ila nakushauri acha kumpa mtu mgongo apande kwa nyembe mkononi..... utachanika chanika..... kabla yake kulikuwa na maisha... so hata baadae pasipo yy kuna maisha....

Acha kuingia hasara kwa gharama ambazo haujazisababisha wewe....
 
Kuchezewa nayo!

Pole kaka kwa yaliyokufika, ni makuu japo umri wako mdogo.

Nimejaribu kuangalia suala hili kwa angles zotd na zote zina-add up to KUCHEZEWA.

Kwani kizazi kushuka kunaweza kucause cancer? NO.
Vaginal adenocarcina ndio cancer inaweza pata mtu wa umri wake lakini causes zake sio hizo.

Hata mwanamke akijifungua na afanye sex immediately, hakuna effect yoyote kwa kizazi, it's jst that ni painful na illogic.

As for kuchukia wanaume, kwani alibakwa ndio achukie wanaume?
Amepata ama amerudiana na jamaa lake.

ACHA KUCHEZEWA!
 
NEVER TRUST A WOMAN EVEN IF SHE IS NAKED.....

ww una uhakika gani km kweli ana tatizo hilo??? ushaenda nae kwa daktari kupima mkiwa pamoja?

kwann hataki watu wajue km mmeachana? anaficha nn??

MWAMBIE AENDE NYUMBA YA IBADA AKATUBU KWA DHAMBI YA KUUA KIUMBE KISICHO NA HATIA....

HALAFU...... MWANAMKE KM HATAKI MWACHE AENDE ZAKE!!

Safii Mkuu!!! Maana Nahisi Hapo Walupofikia Kma Kuna Unafuu Flani..Kuliko Akiendelea Kumg'ang'ania.
 
Back
Top Bottom