Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

Boom Sio tatizo Sababu tangu uhusiano wetu uanze hakuna alie wahi kumuomba mwenzie pesa wala Vocha ni mtu anaye jiweza na mimi najiweza kiupande wangu!

Sasa Tafuta Sabb Halisi Ya Yy Kuamua Hayo, Ila Becare Nahisi Kma Utakayokuja Kuyagundua...Mmhhuu!!!!!Nakushaul Kubali Alichoamua..Angalia Maisha Yako. Mzee Wa Kazi Yupo Ikulu..Akikusikia Unalia Lia...Atapiga Marufuku Kupenda Penda!!!
 
Kwa kifupi huyo mwehu karudiana na X wake mkuu,cha kukushauri,kaa kimya tu kama lowasa alivyoamua kukaa kimya baada ya kukatwa na wananchi..usijisumbue nae tena,mbona gals wamejaa tena wengi na wazuri na pia wako single.
 
Naomba kujua yafuatayo..
> Umri wako na huyo binti?

> Shughuli unayofanya nje ya masomo(umesema utamtibu kwa gharama yoyote)

> Yeye anaishi kwa nani yake na ana shughuli gani ya kiuchumi?

> Je uliwahi kwenda naye hospitali kuhakikisha kwamba ni kweli ana tatizo alilokuambia?

> Ikiwa umemtambulisha kwenu, je kwao aliwahi kukutambulisha kama ni mtu wake wa karibu?

> Umewahi kupeleleza kwa ndugu au watu wake wa karibu ikiwa ni kweli ana tatizo alilokuambia?

> Unadhani alipokuambia usimwambie mtu kama mmeachana alikuwa na maana gani kwako?

> Je ulimuelewa vipi alipokuambia kwamba, muachane tu, ila akipona tatizo lake la kizazi atakujulisha ili muendelee kimahusiano?
 
Back
Top Bottom