Mugalu anapoteza nafasi kibao karibia kila mechi ila kocha anakomaa nae tu, kwanini asimbadilishe na Kagere kama yuko fair?KAGERE alipewa nafas ile gemu ya Al ahly away akaanza kabisa From 1st minute.
Alichokicheza mule kila mtu alikiona, Ni garasa mara 100 ya Mugalu.
Kishingo tuliambiwa ana bifu na kagere ndio maana hampangi kwenye kikosi cha kwanza huyu Gomez nae vile vile hampi nafasi kagereHuwezi kusema kila kocha, vipi uchebe? Mbona alimpenda?
Inawezekana na hao wageni nyumbani kwao wakajipanga kwa mbinu na mikakati kama ilivyo kwa Simba akiwa nyumbani kwake pindi wakikutana na timu ya Simba. Kaizer chief kwanzia huu mwaka uanze hakufahi jushinda goli nne hata mara moja hata kwenye ligi ya kwao huko kashindwa kaja kuipatia Simba unyonge wa kumbugiza goli nneSimba kwa kuwa wameijuliaa uwanja wao wa nyumbani bas katk mech zingine cjazo wahakikishe kuwa magoli ya away yaziwe Zaid ya mawili tu Zaid Sana moja tu ili ikija dsm uwanja wake ifanye mambo lait Kama Simba kaliwa mbili kule bondeni bas leo angepita kirahisi Sana Leo ingekuta Ni sherehe had yule aliyefiwa na bb ake angesherekea tu
Mfungaji bora kwenye ligi ya ridhaaaaKikosi kilichoanza unakikumbuka alicheza na kina nani? Unamuhukumu vipi mchezaji kwa gemu moja? Game ngapi mugalu ni mashuzi tu?
Yote 9, 10 ndio mfungaji wetu bora misimu miwili ama mi3 mfululizo.. Nyongeza kwa dk chache alizopewa nahisi ana wastani wa magoli mengi kuliko mugalu.
Ukibaki wewe na goli wazi ukapiga mpira ukagonga mwamba unakuwa hujakosa goli??Boko hakukosa goli alipiga shuti likagonga mwamba. Muogopeni Mungu
Naambiwa Sub zimeongezwa toka 3 mpaka 5 kwa masharti, sharti linatakiwa ukifanya Sub 5 uwe umezifanya ktk mikupuo mi 3!!Yaani uingize 1, 2, 2 jumla watano, au 1,1,2 jumla wanne.Kifupi coach hampemdi kagere tuseme..
Subs zilikiwa hazijaisha.. Ana matatizo mahali, ama tuseme alikiwa kavurugwa bemchi la ufundi lilipaswa limkumbushe, pamoja ma yoote kagere ndio mfungaji wetu tegemeo kwa misimu kadhaa, na msimu huu ni nafasi tu kanyimwa lakini mie naamini katika uwezo wake.
Hili silifahamu chief. Sijui kama ni kweli ama lah.Naambiwa Sub zimeongezwa toka 3 mpaka 5 kwa masharti, sharti linatakiwa ukifanya Sub 5 uwe umezifanya ktk mikupuo mi 3!!Yaani uingize 1, 2, 2 jumla watano, au 1,1,2 jumla wanne.
Simba sub ya kwanza Mzamiru/Morisson, ya pili Lwanga/Nyoni, ya Tatu Onyango/Kennedy mikupuo mitatu ikaisha.
Kama Lwanga na Onyango wangetoka pamoja tungekuwa na mikupuo miwili ungebaki mkupuo mmoja tungeweza kuinhia mchezaji mmoja au wawili kwa Pamoja.
Naomba kuwasilisha
Jana sub ziliisha kwa jinsi inavyotakiwa kufanya sub kwa wachezaji watano. Sub unatakiwa kufanya wachezaji watano lakini kwa awamu tatu. Simba ilifanya hivyo kulingana na kwamba zilikua sio sub za kiufundi zilikua za lazimaNimetafakari kwa muda sababu ya msingi kwanini kocha hakumuingiza Kagere nikapata sababu mbili.
1. Nimehisi sub zinazotakiwa mwisho ni tatu, japo wapo wanaosema sababu ya Corona zinatakiwa sub mpaka wachezaji watano, kwasababu kama bado kocha alikuwa na nafasi ya kumuingiza Kagere baada ya Mugalu kuonekana amepwaya kule mbele, sioni kwanini hakufanya hivyo.
2. Sababu yangu ya pili inayoendana na ile ya kwanza ni kuumia kwa Lwanga, hii ilisababisha nafasi ya kumuingiza Kagere iwe imeshajazwa kwa aliechukua nafasi ya Lwanga (ambae ni Nyoni) hivyo kuondoa nafasi ya Kagere kuingia.
Kama hizi sababu zote mbili sio za kweli, maana yake kocha alikuwa na nafasi ya kumuingiza Kagere lakini hakufanya hivyo, kitendo chake cha kuonesha mahaba kwa mchezaji aliekosa ubunifu kule mbele kimechangia Simba SC kuondoshwa, hasa nikizingatia uwezo wa Kagere kwenye kuzifumania nyavu, kama ambavyo alikuwa mfungaji bora wa ligi yetu misimu miwili mfululizo.
Ni sahihi nilitaka nilielezee yuko sahihi.pale walipogongana lwanga na onyango,Onyango alirudi kuendelea na mchezo halafu akatolewa akawa ameshaiua ile nafasi ya mwisho ya mabadiliko mipira ina vitu vingi ambavyo watu hawavielewiHili silifahamu chief. Sijui kama ni kweli ama lah.
Acha kupotosha wala haipo hivyo, jana Kaizer wamefanya sub kwa mikupuo mi4, dk. 46, 59, 60, 72 na 88. Gomez aliamua tu kutofanya sub kwasabab anazojua yeye.Naambiwa Sub zimeongezwa toka 3 mpaka 5 kwa masharti, sharti linatakiwa ukifanya Sub 5 uwe umezifanya ktk mikupuo mi 3!!Yaani uingize 1, 2, 2 jumla watano, au 1,1,2 jumla wanne.
Simba sub ya kwanza Mzamiru/Morisson, ya pili Lwanga/Nyoni, ya Tatu Onyango/Kennedy mikupuo mitatu ikaisha.
Kama Lwanga na Onyango wangetoka pamoja tungekuwa na mikupuo miwili ungebaki mkupuo mmoja tungeweza kuinhia mchezaji mmoja au wawili kwa Pamoja.
Naomba kuwasilisha
Kifupi coach hampemdi kagere tuseme..
Subs zilikiwa hazijaisha.. Ana matatizo mahali, ama tuseme alikiwa kavurugwa bemchi la ufundi lilipaswa limkumbushe, pamoja ma yoote kagere ndio mfungaji wetu tegemeo kwa misimu kadhaa, na msimu huu ni nafasi tu kanyimwa lakini mie naamini katika uwezo wake.
Usiseme bahati sema uwezo uliishia pale.Simba bahati haikua yetu leo, hata angeanza MK14 mtu wa kazi. Ukiangalia magoli mengi wachezaji waliyokosa ni mengi sio Mugalu tu hata, Boko, Chama na Morison. Pia kuna mchezaji wa Kaizer alishika ndani ya box lakini refa kapotezea.
Simba ni timu bora sana ingawa imetolewa lakini kazi imefanyika ya kiwango cha kimataifa.
Simba nguvu moja.
Mugalu ndio striker anayefanya vizuri sana mazoezini. Makocha wana taratibu zao za kuamua nani apangwe, na mipango huanza mazoeziniVyema ampe nafasi na Kagere kuliko kukomaa na Mugalu muda wote no matter what.