Sababu ya kocha Simba SC kutomuingiza Kagere

Simba bahati haikua yetu leo,hata angeanza MK14 mtu wa kazi.
Ukiangalia magoli mengi wachezaji waliyokosa ni mengi sio Mugalu tu hata,Boko,Chama na Morison.pia kuna mchezaji wa Kaizer alishika ndani ya box lakini refa kapotezea.
Simba ni timu bora sana ingawa imetolewa lakini kazi imefanyika ya kiwango cha kimataifa.
Simba nguvu moja.
Boko hakukosa goli alipiga shuti likagonga mwamba. Muogopeni Mungu
 
Simba bahati haikua yetu leo,hata angeanza MK14 mtu wa kazi.
Ukiangalia magoli mengi wachezaji waliyokosa ni mengi sio Mugalu tu hata,Boko,Chama na Morison.pia kuna mchezaji wa Kaizer alishika ndani ya box lakini refa kapotezea.
Simba ni timu bora sana ingawa imetolewa lakini kazi imefanyika ya kiwango cha kimataifa.
Simba nguvu moja.
Nadhani kocha hampendi Kagere sio kwamba Kagere bora sana lakini ni bora kuliko Mugalu kuhusu Simba kuwa bora sana ni wazuri lakini sio bora sana Kaizer ni team dhaifu katika team zote zilizoingia hatua hii na wametutoa haijalishi tumewafunga 3 na pia tulikuwa na washabiki wao walitufunga 4 bila mashabiki kwa hiyo advantage fulani tulipata.
 
Kifupi coach hampemdi kagere tuseme..

Subs zilikiwa hazijaisha.. Ana matatizo mahali, ama tuseme alikiwa kavurugwa bemchi la ufundi lilipaswa limkumbushe, pamoja ma yoote kagere ndio mfungaji wetu tegemeo kwa misimu kadhaa, na msimu huu ni nafasi tu kanyimwa lakini mie naamini katika uwezo wake.
Mmeanza,na kishingo mlimsakama hivyohivyo
 
Nimetafakari kwa muda sababu ya msingi kwanini kocha hakumuingiza Kagere nikapata sababu mbili.

1. Nimehisi sub zinazotakiwa mwisho ni tatu, japo wapo wanaosema sababu ya Corona zinatakiwa sub mpaka wachezaji watano, kwasababu kama bado kocha alikuwa na nafasi ya kumuingiza Kagere baada ya Mugalu kuonekana amepwaya kule mbele, sioni kwanini hakufanya hivyo.

2. Sababu yangu ya pili inayoendana na ile ya kwanza ni kuumia kwa Lwanga, hii ilisababisha nafasi ya kumuingiza Kagere iwe imeshajazwa kwa aliechukua nafasi ya Lwanga (ambae ni Nyoni) hivyo kuondoa nafasi ya Kagere kuingia.

Kama hizi sababu zote mbili sio za kweli, maana yake kocha alikuwa na nafasi ya kumuingiza Kagere lakini hakufanya hivyo, kitendo chake cha kuonesha mahaba kwa mchezaji aliekosa ubunifu kule mbele kimechangia Simba SC kuondoshwa, hasa nikizingatia uwezo wa Kagere kwenye kuzifumania nyavu, kama ambavyo alikuwa mfungaji bora wa ligi yetu misimu miwili mfululizo.
Kwa maoni yangu, sababu zako zote mbili sio sahihi. Usiklaumu kocha wala Mugalu. Simba ina kocha bora sana na Mugalu kafanya kazi yake zaidi ya matarajio (+100%)

Nakuhakikishia, bila Mugalu, Bocco asingefunga yale magoli mawili na huenda hata Chama asingefunga na Simba ingeweza kufungwa au hata kutoka draw.

Mugalu ni mzuri wa kukaa na mipira na pia alikua anawafanya mabeki wa Kaiser wapoteane kati ya kumkaba Bocco au Mugalu, japo Mugalu hafungi lakini anawatanua sana mabeki na kuwapa nafasi wengine wapite na kufunga. Tatizo la Kagere huwa ni wakuletewa tu na hawezi kukaa na mpira na ni mtu wa kunyemelea na sio kupambania nafasi...sasa Kaiser walikua wanajaa nyuma asingepata chance yeyote na pia Kagere sio mzuri wa kutoa pasi...yeye ni kufunga tu yeye kama yeye kwahiyo inabidi wengine ndio wacheze kumtafuta, wakishindwa hana msaada.

Kwa upande wa kocha, SA alitumia 4-2-3-1 wakati Kaiser walitumia 3-4-3...sasa Kaiser walikua wajanja, wakati wanashambuliwa walikua hao wa4 wa katikati wanakua nyuma jumla 7 na wakati wanashambulia wanakua mbele jumla 7. Ndio maana SA kulikua na msitu nyuma. Simba SA walikua pia wanajihami sana kwahiyo mbele mara nyingi walikua 4 na labda wakiongozeka ni wawili jumla 6. Wakishambuliwa wanabaki 6 wakati jamaa wanakua 7.

Jana Simba walikua 4-4-2 wakati Kaiser wakabaki na ile ile 3-4-3, sasa pamoja na Simba kuwa 6 wanaposhambulia lkn hata wakiwa hawashambulii lkn uwepo wa Bocco na Mugalu uliwafanya wale wanne wa Kaiser wapungue kwenda mbele ili wabaki kuongeza nguvu nyuma na wakati huohuo wana waacha wale wa4 wa Simba wa katikati wawe free zaidi na muda wote kukaa golini kwa Kaiser, ndio maana Kocha wa Simba alivyoona kafanikiwa kumiliki mpira katikati akamtoa Mzamiru (maana hawahitaji kupokonya tena mipira) akamuingiza Morrison ili kwenda kuongeza nguvu kwenye kuipanguwa beki ya Kaiser

Huo ndio mtazamo wangu.
 
KAGERE Ni striker mzuri kwa ligi za mavumbini sio CAF CHAMPIONSHIP.

japokua haiondoi ukweli kua Mugalu Ni garasa la maana kule mbele.
 
Vyema ampe nafasi na Kagere kuliko kukomaa na Mugalu muda wote no matter what.
KAGERE alipewa nafas ile gemu ya Al ahly away akaanza kabisa From 1st minute.

Alichokicheza mule kila mtu alikiona, Ni garasa mara 100 ya Mugalu.
 
Ila kitu nachokuhakikishia mimi simkubali Mugalu nampendekeza zaidi MK14,ila kuna kitu cha kiufundi pengine anacho ambacho kwa sisi mashabiki hatuwezi kukiona.
Kocha Gomes anakaa na wachezaji kwa muda na anawaona wakiwa mazoezini.
Simba nguvu moja.
Inawezekana weee umezoea kumuona MK14 Kwenye ligi ya ndani.

Ila ukimuona kwny hii michuano ya CAF mechi zote alizoingia,

Utakubaliana na Mimi kua KAGERE sio international player kabisa.
 
Na huyu kocha utadhani karogwa na Mugalu. Jitu halina tija yoyote pale mbele na amemuacha acheze dakika zote 90. Asipoangalia ataondoka yeye na Mugalu wake kwa sababu huyu Mugalu anatutia machungu sana sisi wana Simba na hasa pale anapopoteza nafasi za wazi kila mechi.
Mbona kagere ndo garasa kabisa.

Mechi na alhaly ameanza, ila kila zikipigwa cross hayupo position, mipira ya rebounds inapigwa yeye hayupo.

Anazurura TU uku na kule uwanjan.

Mara Mia ya Mugalu anajua kujiposition at Kama uwezo wake wa kufunga bado Ni butu.
 
KAGERE alipewa nafas ile gemu ya Al ahly away akaanza kabisa From 1st minute.

Alichokicheza mule kila mtu alikiona, Ni garasa mara 100 ya Mugalu.
Kikosi kilichoanza unakikumbuka alicheza na kina nani? Unamuhukumu vipi mchezaji kwa gemu moja? Game ngapi mugalu ni mashuzi tu?

Yote 9, 10 ndio mfungaji wetu bora misimu miwili ama mi3 mfululizo.. Nyongeza kwa dk chache alizopewa nahisi ana wastani wa magoli mengi kuliko mugalu.
 
Kwa mugalu kagere ni bora zaidi, hata huko caf alifanya vema msimu wa 2018/19
KAGERE keshapewa nafas Sana na kocha, ila kila anachokicheza hakieleweki.

Mechi na Al ahly kagere alijisahau kabisa Kama Ni striker nae akawa anarudi nyuma kukaba.

Mabeki kuona ivyo, nao wakaanza kupanda.

Kumbuka vizur ata Lile goli la Al ahly,pass ya goli ilitoka kwa beki aliepanda baada ya kuona nyuma hamna hatar yoyote.

KAGERE anaigarimu timu, vinginevyo ajirekebishe
 
Kikosi kilichoanza unakikumbuka alicheza na kina nani? Unamuhukumu vipi mchezaji kwa gemu moja? Game ngapi mugalu ni mashuzi tu?

Yote 9, 10 ndio mfungaji wetu bora misimu miwili ama mi3 mfululizo.. Nyongeza kwa dk chache alizopewa nahisi ana wastani wa magoli mengi kuliko mugalu.
Game iyo moja ilitosha yeye kuitetea Nafas, kumbuka michuano ya CAF Ina mechi chache Sana.

Hakuna kugamble, ukipigwa unatupwa nje
 
KAGERE keshapewa nafas Sana na kocha, ila kila anachokicheza hakieleweki.

Mechi na Al ahly kagere alijisahau kabisa Kama Ni striker nae akawa anarudi nyuma kukaba.

Mabeki kuona ivyo, nao wakaanza kupanda.

Kumbuka vizur ata Lile goli la Al ahly,pass ya goli ilitoka kwa beki aliepanda baada ya kuona nyuma hamna hatar yoyote.

KAGERE anaigarimu timu, vinginevyo ajirekebishe
Goli lilikuwa boko la mkude, kifupi kamuharibu na saikolojia, kumpiga benchi, akimchezesha ni gemu isiyo na uzito, mara ampange na watu wa kikosi cha pili, unadhani akicheza na ndemla atapata huduma kama anayopata kqa chama!?

Tuwe serious, kwa mugalu kagere ni bora mnoo..

Lete takwimu
 
Game iyo moja ilitosha yeye kuitetea Nafas, kumbuka michuano ya CAF Ina mechi chache Sana.

Hakuna kugamble, ukipigwa unatupwa nje
Ni game ambayo kwa simba ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.
 
Kwa maoni yangu, sababu zako zote mbili sio sahihi. Usiklaumu kocha wala Mugalu. Simba ina kocha bora sana na Mugalu kafanya kazi yake zaidi ya matarajio (+100%)

Nakuhakikishia, bila Mugalu, Bocco asingefunga yale magoli mawili na huenda hata Chama asingefunga na Simba ingeweza kufungwa au hata kutoka draw.

Mugalu ni mzuri wa kukaa na mipira na pia alikua anawafanya mabeki wa Kaiser wapoteane kati ya kumkaba Bocco au Mugalu, japo Mugalu hafungi lakini anawatanua sana mabeki na kuwapa nafasi wengine wapite na kufunga. Tatizo la Kagere huwa ni wakuletewa tu na hawezi kukaa na mpira na ni mtu wa kunyemelea na sio kupambania nafasi...sasa Kaiser walikua wanajaa nyuma asingepata chance yeyote na pia Kagere sio mzuri wa kutoa pasi...yeye ni kufunga tu yeye kama yeye kwahiyo inabidi wengine ndio wacheze kumtafuta, wakishindwa hana msaada.

Kwa upande wa kocha, SA alitumia 4-2-3-1 wakati Kaiser walitumia 3-4-3...sasa Kaiser walikua wajanja, wakati wanashambuliwa walikua hao wa4 wa katikati wanakua nyuma jumla 7 na wakati wanashambulia wanakua mbele jumla 7. Ndio maana SA kulikua na msitu nyuma. Simba SA walikua pia wanajihami sana kwahiyo mbele mara nyingi walikua 4 na labda wakiongozeka ni wawili jumla 6. Wakishambuliwa wanabaki 6 wakati jamaa wanakua 7.

Jana Simba walikua 4-4-2 wakati Kaiser wakabaki na ile ile 3-4-3, sasa pamoja na Simba kuwa 6 wanaposhambulia lkn hata wakiwa hawashambulii lkn uwepo wa Bocco na Mugalu uliwafanya wale wanne wa Kaiser wapungue kwenda mbele ili wabaki kuongeza nguvu nyuma na wakati huohuo wana waacha wale wa4 wa Simba wa katikati wawe free zaidi na muda wote kukaa golini kwa Kaiser, ndio maana Kocha wa Simba alivyoona kafanikiwa kumiliki mpira katikati akamtoa Mzamiru (maana hawahitaji kupokonya tena mipira) akamuingiza Morrison ili kwenda kuongeza nguvu kwenye kuipanguwa beki ya Kaiser

Huo ndio mtazamo wangu.
Kazi ya striker ni kufunga magoli mjomba sio uzuri wa kukaa na mpira, huo mpira aliokaa nao uneisaidia nini timu mbona tumetoka kama angefunga kwa zile nafasi alizopoteza habari ingekuwa tofauti, habari ya kukaa na mpira waachie viungo.
 
Back
Top Bottom