Hakuna kitu Kama hicho, wazanzibar ni wabaguzi, na watu wa pwani hawafanani Wala hawana ubaguzi Kama hao zenji.Ukanda upi? huo ukanda ulikuwa wa sultani
Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.1. Kwa hiyo wakati Tanganyika inapata uhuru wake 1961 Dar es salaam ilikuwa sehemu ya Zanzibar?
2. Je ushawah sikia au kusoma kitu kinaitwa Berlin conference of 1884?
3. Je unafahamu Helgoland-Zanzibar treat ya 1890 ilisema nini?
Mkuu soma vizuri historia before kufanya trivial conclusion....
Chadema watabishaYaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa,
Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???
View attachment 1771823
Hujui unachokisema wewe.Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.
Yaani rais wa Tanzania awape Zanzibar pwani ya Mombasa hadi Lamu?Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa,
Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???
View attachment 1771823
Imekuchoma?Another rubbish thread from you
Ukoloni! Ukoloni! turudi huko???Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa.
Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???
Hata mkataba wa Muungano upo lkn Rais wa Zanzibar hakutia sain Unasema he,?Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.
Acha ukengeYaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.