Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

wazanzibar ni masalia ya watumwa toka bara hivo mtaendelea kua koloni letu daima
 
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.

Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa.

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???

Inabidi kwanza mrudishe zile Deutsch mark 2,000,000 Sultan alizokula toka kwa Kaisar wa Prussia ili aachie hiyo 10 miles strip ya pwani
 
1. Kwa hiyo wakati Tanganyika inapata uhuru wake 1961 Dar es salaam ilikuwa sehemu ya Zanzibar?
2. Je ushawah sikia au kusoma kitu kinaitwa Berlin conference of 1884?
3. Je unafahamu Helgoland-Zanzibar treat ya 1890 ilisema nini?

Mkuu soma vizuri historia before kufanya trivial conclusion....
... it is the same Heligoland Treaty that granted the whole of L. Nyasa (Tanganyika side) to Malawi. Let's be careful ...
 
... it is the same Heligoland Treaty that granted the whole of L. Nyasa (Tanganyika side) to Malawi. Let's be careful ...
Sure but our standing in this issue is based on international law when two countries are separated by water body....mpaka unapita katikati ya that water body
 
Back
Top Bottom