Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa.
Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???