devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Hiyo ni kumpatia mtumiaji/mteja flavour aitakayo, na haijaishia kwenye Rav4 Old tu, ipo pia kwenye Rav4 2nd generation (Kili Time) na pia ipo kwenye Prado. In case unahitaji gari fupi kidogo yenye 3 doors but same same performance and feel, then you will go for short chassis!Wakuu naombeni msaada na maarifa najiuliza sipati jibu kwanin Rav 4 old model ya body kubwa na kipis zote zimewekwa engine sawa japo moja ni kubwa nyingine ni ndogo kimaumbo
Punguzeni utani.Ni sawa na mwanamke mrefu na mfupi wote wana engines sawa
Prado gani inatumia engine ya Rav 4 ?ipo pia kwenye Rav4 2nd generation (Kili Time) na pia ipo kwenye Prado. I
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna reply ukiziona utajua tu huyu ni legendNi sawa na mwanamke mrefu na mfupi wote wana engines sawa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna reply ukiziona utajua tu huyu ni legendPunguzeni utani.
Hata hivyo za warefu na wafupi hazifanani. Za warefu Ni matawi.
Gari za same model hutengenezwa kwa mfumo wa kuhimili mpaka kiwango fulani cha uzito.. Kwamba kwa engine hii uwezo wake kikomo cha uzito ni hiki! Basi baada ya hapo watacheza watakavyo lakinj hawatazidisha kile kipimoWakuu naombeni msaada na maarifa najiuliza sipati jibu kwanin Rav 4 old model ya body kubwa na kipis zote zimewekwa engine sawa japo moja ni kubwa nyingine ni ndogo kimaumbo
gari moja short chasis nyingine long base,Gari za same model hutengenezwa kwa mfumo wa kuhimili mpaka kiwango fulani cha uzito..
Ok nilimaanisha same make!gari moja short chasis nyingine long base,
moja toleo la zamani, old model, nyingine new model
huwezi kusema hizo gari ni “same model.”
Designers wa magari wanaangalia vitu vingi. Kuna mwingine hahitaji gari ya milango 5, anataka ya mitatu. Sasa huwezi ku redesign engine kufit matumizi ya huyu wa milango mitatu, ila una redesign body pekee.Ukubwa wa engine mara nyingi unategemea hiyo ilikusudiwa kubeba load ya aina gani. Hapa load sio mzigo tu utakaokaa ndani ya gari (in kg), lakini pia speed, uwezo wa kupanda vilima, ukinzani, nk. Kwa ujumla, design ya engine inategemea efficiency ya gari husika kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Kwa mfano; engine yenye 1900cc haiwezi kuwa na performance efficiency sawa na engine yenye 2300cc kwa safari ya kutoka Musoma hadi Mtwara. Tukirudi kwenye swali lako, Rove 4 yenye body kubwa na ile yenye body fupi (short chasis) kuwa na engine zenye ukubwa unaolingana, ni kuzifanya ziwe na efficiency sawa under all working conditions: kama wote mnatoka Musoma saa 12 asubuhi, basi wote mfike Mtwara saa 12 ya asubuhi siku inayofuata (assuming non of you encountered any problems in the way). Hebu tufikirie: Harrier yenye 2150cc ni sawa na Harrier yenye 2300cc in performance?
HujamuelewaPrado gani inatumia engine ya Rav 4 ?
Ulipouliza harrier yenye 2150CC na yenye 2300CC zipo sawa kwenye perfomance? Unamaanisha nini hapo mkuu?Ukubwa wa engine mara nyingi unategemea hiyo ilikusudiwa kubeba load ya aina gani. Hapa load sio mzigo tu utakaokaa ndani ya gari (in kg), lakini pia speed, uwezo wa kupanda vilima, ukinzani, nk. Kwa ujumla, design ya engine inategemea efficiency ya gari husika kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Kwa mfano; engine yenye 1900cc haiwezi kuwa na performance efficiency sawa na engine yenye 2300cc kwa safari ya kutoka Musoma hadi Mtwara. Tukirudi kwenye swali lako, Rove 4 yenye body kubwa na ile yenye body fupi (short chasis) kuwa na engine zenye ukubwa unaolingana, ni kuzifanya ziwe na efficiency sawa under all working conditions: kama wote mnatoka Musoma saa 12 asubuhi, basi wote mfike Mtwara saa 12 ya asubuhi siku inayofuata (assuming non of you encountered any problems in the way). Hebu tufikirie: Harrier yenye 2150cc ni sawa na Harrier yenye 2300cc in performance?
Hujaelewa!!Prado gani inatumia engine ya Rav 4 ?
Ma-GWIJI[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna reply ukiziona utajua tu huyu ni legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi ona engine ya toyota yenye cc hizo tena kwenye harrier..naomba code name ya hio engineUlipouliza harrier yenye 2150CC na yenye 2300CC zipo sawa kwenye perfomance? Unamaanisha nini hapo mkuu?
5S-FE na 1MZ-FESijawahi ona engine ya toyota yenye cc hizo tena kwenye harrier..naomba code name ya hio engine