Sababu ya kuweka engine sawa kwenye Rav 4 old

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu naombeni msaada na maarifa najiuliza sipati jibu kwanin Rav 4 old model ya body kubwa na kipis zote zimewekwa engine sawa japo moja ni kubwa nyingine ni ndogo kimaumbo
 
Ukubwa wa engine mara nyingi unategemea hiyo ilikusudiwa kubeba load ya aina gani. Hapa load sio mzigo tu utakaokaa ndani ya gari (in kg), lakini pia speed, uwezo wa kupanda vilima, ukinzani, nk. Kwa ujumla, design ya engine inategemea efficiency ya gari husika kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Kwa mfano; engine yenye 1900cc haiwezi kuwa na performance efficiency sawa na engine yenye 2300cc kwa safari ya kutoka Musoma hadi Mtwara. Tukirudi kwenye swali lako, Rove 4 yenye body kubwa na ile yenye body fupi (short chasis) kuwa na engine zenye ukubwa unaolingana, ni kuzifanya ziwe na efficiency sawa under all working conditions: kama wote mnatoka Musoma saa 12 asubuhi, basi wote mfike Mtwara saa 12 ya asubuhi siku inayofuata (assuming non of you encountered any problems in the way). Hebu tufikirie: Harrier yenye 2150cc ni sawa na Harrier yenye 2300cc in performance?
 
Hiyo ni kumpatia mtumiaji/mteja flavour aitakayo, na haijaishia kwenye Rav4 Old tu, ipo pia kwenye Rav4 2nd generation (Kili Time) na pia ipo kwenye Prado. In case unahitaji gari fupi kidogo yenye 3 doors but same same performance and feel, then you will go for short chassis!
 
Wakuu naombeni msaada na maarifa najiuliza sipati jibu kwanin Rav 4 old model ya body kubwa na kipis zote zimewekwa engine sawa japo moja ni kubwa nyingine ni ndogo kimaumbo
Gari za same model hutengenezwa kwa mfumo wa kuhimili mpaka kiwango fulani cha uzito.. Kwamba kwa engine hii uwezo wake kikomo cha uzito ni hiki! Basi baada ya hapo watacheza watakavyo lakinj hawatazidisha kile kipimo
Watabadili miundo ya nje ya engine
Wataongeza ama kupunguza body
Wataweka ama kupunguza madoido kwenye tairi, mfumo wa umeme,mfumo wa hewa, shock ups nknk.. Lakini watahakikisha hawavuki kiwango msingi cha uzito husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari za same model hutengenezwa kwa mfumo wa kuhimili mpaka kiwango fulani cha uzito..
gari moja short chasis nyingine long base,
moja toleo la zamani, old model, nyingine new model

huwezi kusema hizo gari ni “same model.”
 
Ukubwa wa engine mara nyingi unategemea hiyo ilikusudiwa kubeba load ya aina gani. Hapa load sio mzigo tu utakaokaa ndani ya gari (in kg), lakini pia speed, uwezo wa kupanda vilima, ukinzani, nk. Kwa ujumla, design ya engine inategemea efficiency ya gari husika kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Kwa mfano; engine yenye 1900cc haiwezi kuwa na performance efficiency sawa na engine yenye 2300cc kwa safari ya kutoka Musoma hadi Mtwara. Tukirudi kwenye swali lako, Rove 4 yenye body kubwa na ile yenye body fupi (short chasis) kuwa na engine zenye ukubwa unaolingana, ni kuzifanya ziwe na efficiency sawa under all working conditions: kama wote mnatoka Musoma saa 12 asubuhi, basi wote mfike Mtwara saa 12 ya asubuhi siku inayofuata (assuming non of you encountered any problems in the way). Hebu tufikirie: Harrier yenye 2150cc ni sawa na Harrier yenye 2300cc in performance?
Designers wa magari wanaangalia vitu vingi. Kuna mwingine hahitaji gari ya milango 5, anataka ya mitatu. Sasa huwezi ku redesign engine kufit matumizi ya huyu wa milango mitatu, ila una redesign body pekee.
 
Ukubwa wa engine mara nyingi unategemea hiyo ilikusudiwa kubeba load ya aina gani. Hapa load sio mzigo tu utakaokaa ndani ya gari (in kg), lakini pia speed, uwezo wa kupanda vilima, ukinzani, nk. Kwa ujumla, design ya engine inategemea efficiency ya gari husika kwa matumizi yaliyokusudiwa.

Kwa mfano; engine yenye 1900cc haiwezi kuwa na performance efficiency sawa na engine yenye 2300cc kwa safari ya kutoka Musoma hadi Mtwara. Tukirudi kwenye swali lako, Rove 4 yenye body kubwa na ile yenye body fupi (short chasis) kuwa na engine zenye ukubwa unaolingana, ni kuzifanya ziwe na efficiency sawa under all working conditions: kama wote mnatoka Musoma saa 12 asubuhi, basi wote mfike Mtwara saa 12 ya asubuhi siku inayofuata (assuming non of you encountered any problems in the way). Hebu tufikirie: Harrier yenye 2150cc ni sawa na Harrier yenye 2300cc in performance?
Ulipouliza harrier yenye 2150CC na yenye 2300CC zipo sawa kwenye perfomance? Unamaanisha nini hapo mkuu?
 
Sijawahi ona engine ya toyota yenye cc hizo tena kwenye harrier..naomba code name ya hio engine
 
Back
Top Bottom