Sababu ya mashabiki wa yanga kuwapiga mashabiki wa simba ni hii....

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria Yanga hana lingine la kumtambia Simba, ndo maana inapofika kwenye utani Simba wanakuwa na tambo nyingi sana maana udhaifu kwa Yanga upo sehemu nyingi.

Mashabiki wa Simba wanajigamba mno, kumchukua Morrison, kuchukua vikombe vyote msimu ulipita hadi kwa wanawake, stability ya club, pira birian linalopigwa, yote haya yanawaumiza sana Yanga na hawana hoja wala mafanikio ya kufananisha na haya zaid ya kuwa mabingwa wa historia,hali hii huzaa hasira mwisho wanakuwa hawana cha kujibu zaidi ya ngumi.

Na sio kwamba wanasimba hawawezi ugomvi ila kupigana inahitaji uwe na hasira na hasira inahitajika sababu ya kuichochea, sasa wanasimba kutokana na mwenendo wa timu yao hawana sababu itakayochochea hasira hadi kupigana.

Ni hivyo tu.
 
Yaani Yanga bingwa mara 27 Simba bingwa mara 21 alafu Yanga anamuonea wivu Simba kweli aliyewaita mbumbumbu fc hakukosea. Yanga kwasasa ata aki uchukua ubingwa wa bara mara tano mfulululizo sio kitu cha kujivunia tena, Yanga changamoto yao ni kufika mbali katika michuano ya kimataifa.

kwa Yanga Ubingwa wa ligi ni heshima tu sio mafanikio, hatua ya kuita ubingwa wa bara au Muungano ni mafanikio walishavuka miaka mingi sana.
 
Ukiachana na kuwa bingwa wa kihistoria huna jipya la zaid ndio maana mna hasira kama mwenye ngoma
 
Yaani Yanga bingwa mara 27 Simba bingwa mara 21 alafu Yanga anamuonea wivu Simba kweli aliyewaita mbumbumbu fc hakukosea. Yanga kwasasa ata aki uchukua ubingwa wa bara mara tano mfulululizo sio kitu cha kujivunia tena, Yanga changamoto yao ni kufika mbali katika michuano ya kimataifa.
kwa Yanga Ubingwa wa ligi ni heshima tu sio mafanikio, hatua ya kuita ubingwa wa bara au Muungano ni mafanikio walishavuka miaka mingi sana.
Ndo hilo hilo mnaimba kila siku sasa limepoteza ladha na hakuna kingine mlichokifanya, mnakimbilia ngumi
 
Mbumbumbu fc wanachoweza kujivunia ni kitendo cha mzamini wao wa timu kuchukua mfanyakazi wake wa ndani na kumkabizi timu ya Simba ai simamie.
 
Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria Yanga hana lingine la kumtambia Simba, ndo maana inapofika kwenye utani Simba wanakuwa na tambo nyingi sana maana udhaifu kwa Yanga upo sehemu nyingi.

Mashabiki wa Simba wanajigamba mno, kumchukua Morrison, kuchukua vikombe vyote msimu ulipita hadi kwa wanawake, stability ya club, pira birian linalopigwa, yote haya yanawaumiza sana Yanga na hawana hoja wala mafanikio ya kufananisha na haya zaid ya kuwa mabingwa wa historia,hali hii huzaa hasira mwisho wanakuwa hawana cha kujibu zaidi ya ngumi.

Na sio kwamba wanasimba hawawezi ugomvi ila kupigana inahitaji uwe na hasira na hasira inahitajika sababu ya kuichochea, sasa wanasimba kutokana na mwenendo wa timu yao hawana sababu itakayochochea hasira hadi kupigana.

Ni hivyo tu.
Kwenye nembo yao

kale kajamaa ka chini ni kabondia so usishangae
 
Yaani Yanga bingwa mara 27 Simba bingwa mara 21 alafu Yanga anamuonea wivu Simba kweli aliyewaita mbumbumbu fc hakukosea. Yanga kwasasa ata aki uchukua ubingwa wa bara mara tano mfulululizo sio kitu cha kujivunia tena, Yanga changamoto yao ni kufika mbali katika michuano ya kimataifa.
kwa Yanga Ubingwa wa ligi ni heshima tu sio mafanikio, hatua ya kuita ubingwa wa bara au Muungano ni mafanikio walishavuka miaka mingi sana.
Kwani aliyewaita mbwa aną kosa gani?
 
ukienda kuangalia mechi ya simba utapata faida zifuatazo kwa muda wa dakika 90

1. utaondoa stress zisababishwazo na maisha magumu

2. utaondoa machungu yakuachwa na bf au gf au mume au mke

3. utaondoa pressure isababishwayo na kuwaza wapi utapata pesa

4. utapata furaha moyoni na mwilini

5. utajihisi uko nchi za ulaya kwa kiwango cha soka uonalo

6. nafsi itachangamka na kujihisi uko peponi

7. utatamani mpira usiishe maana unakuwa kama utamu unakujaa unarudi

8. utajihisi ni tajiri kupindukia maana pasi za assist zitakufanya uwaze utaenda chukulia mkopo

9. utajiona wewe ni bonge la mtu mwenye bahati kwa kuwa mshabiki wa simba maana timu nyingine zikitoa sare zinajiona zimeshinda mbele ya simba

10. utajiona mwili wako umeutendea haki maana macho yataona udambwi masikio yatasikia gogogoooo la
mikono itapiga makofi miguu itarukaruka
mdomo utatabasamu ngozi itahisi msisimko kwa furaha
pua itanusa harufu nzuuri ya mpira wa kiwango

wewe kufa na stress kwa kushabikia yanga uandamwe na magonjwa moyo mtambuka
 
1601384508464.png
 
Vimashabiki vya simba vihonge sana vikiguswa kidogo tu vinalia kwa sauti kubwa mpaka mama yao tifua tifua asikie pumbavu sana hivi
 
Sasa hivi ukimquote mtu wa utopolo, ndala, yeboyebo, mbwa, nyani, usisahau emoji hizi[emoji2187][emoji2187][emoji119][emoji120][emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088][emoji2222] la sivyo utachezea vitasa mpaka ufe, dawa ni kuyatania alafu unatoka nduki.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mambwa hayooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Utopolo stress ninyingi mno,,,,Mpaka sasa forward hazina goal unafikili wataacha kujifanya mabondia uchwara
 
Hahahahaa sisi tumeweka rekod simba mnatafta kuivunja sisi Yanga mabingwa 27 nyie 18
 
Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria Yanga hana lingine la kumtambia Simba, ndo maana inapofika kwenye utani Simba wanakuwa na tambo nyingi sana maana udhaifu kwa Yanga upo sehemu nyingi.

Mashabiki wa Simba wanajigamba mno, kumchukua Morrison, kuchukua vikombe vyote msimu ulipita hadi kwa wanawake, stability ya club, pira birian linalopigwa, yote haya yanawaumiza sana Yanga na hawana hoja wala mafanikio ya kufananisha na haya zaid ya kuwa mabingwa wa historia,hali hii huzaa hasira mwisho wanakuwa hawana cha kujibu zaidi ya ngumi.

Na sio kwamba wanasimba hawawezi ugomvi ila kupigana inahitaji uwe na hasira na hasira inahitajika sababu ya kuichochea, sasa wanasimba kutokana na mwenendo wa timu yao hawana sababu itakayochochea hasira hadi kupigana.

Ni hivyo tu.
Ongea!! Mbona umekenua meno tu.
 
ukienda kuangalia mechi ya simba utapata faida zifuatazo kwa muda wa dakika 90

1. utaondoa stress zisababishwazo na maisha magumu

2. utaondoa machungu yakuachwa na bf au gf au mume au mke

3. utaondoa pressure isababishwayo na kuwaza wapi utapata pesa

4. utapata furaha moyoni na mwilini

5. utajihisi uko nchi za ulaya kwa kiwango cha soka uonalo

6. nafsi itachangamka na kujihisi uko peponi

7. utatamani mpira usiishe maana unakuwa kama utamu unakujaa unarudi

8. utajihisi ni tajiri kupindukia maana pasi za assist zitakufanya uwaze utaenda chukulia mkopo

9. utajiona wewe ni bonge la mtu mwenye bahati kwa kuwa mshabiki wa simba maana timu nyingine zikitoa sare zinajiona zimeshinda mbele ya simba

10. utajiona mwili wako umeutendea haki maana macho yataona udambwi masikio yatasikia gogogoooo la
mikono itapiga makofi miguu itarukaruka
mdomo utatabasamu ngozi itahisi msisimko kwa furaha
pua itanusa harufu nzuuri ya mpira wa kiwango

wewe kufa na stress kwa kushabikia yanga uandamwe na magonjwa moyo mtambuka
Hahaha no comment , vyote ulivyosema viko 100% right
 
Sababu nyingine ni ushirikina maana hata CEO yule Pio kali nae juzi kachezea vitasa
 
Back
Top Bottom