kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Simba na Yanga ni watani wa muda mrefu, utani unaendana na majigambo na tambo za hapa na pale, sasa kwa miaka hii ya karibuni Simba imeiacha mbali sana Yanga zaidi ya kuwa bingwa wa Kihistoria Yanga hana lingine la kumtambia Simba, ndo maana inapofika kwenye utani Simba wanakuwa na tambo nyingi sana maana udhaifu kwa Yanga upo sehemu nyingi.
Mashabiki wa Simba wanajigamba mno, kumchukua Morrison, kuchukua vikombe vyote msimu ulipita hadi kwa wanawake, stability ya club, pira birian linalopigwa, yote haya yanawaumiza sana Yanga na hawana hoja wala mafanikio ya kufananisha na haya zaid ya kuwa mabingwa wa historia,hali hii huzaa hasira mwisho wanakuwa hawana cha kujibu zaidi ya ngumi.
Na sio kwamba wanasimba hawawezi ugomvi ila kupigana inahitaji uwe na hasira na hasira inahitajika sababu ya kuichochea, sasa wanasimba kutokana na mwenendo wa timu yao hawana sababu itakayochochea hasira hadi kupigana.
Ni hivyo tu.