Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
SABABU YA MKEO KUJIACHIA AKIWA KWA MCHEPUKO LAKINI KWAKO ANAJIBANA NA KUKUPUNJA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Anajibana na kukubania!
Anakuletea pozi na Kukupunja!
Hajitumi na anakuwa Mvivu kitandani.
Imefika Wakati anakupa Kwa Nusu kibaba Kwa vipimo yàani anakupimia.
Anajifanya mlokole au ostadhati na hataki mikunjo hatarishi lakini Kwa michepuko anakunjika na kukunjwa kama bahasha za Maombi ya rufaa.
Wàpo Wanaume Wengine Mwaka mzima Wengine mpaka Miaka na Miaka wananyimwa unyumba lakini huyohuyo Mwanamke kûna msela nondo mmoja anampa yôte Kwa yôte na inaliwa Mpaka ukoko.
Bila kumnunulia zawadi au kumpa Pesa hakupi na ukimpa Pesa anakupimia Kulingana na Pesa uliyotoa. Huyo Mimi namuita Malaya na anakufanyia ukahaba.
Wakati huo akija kwetu Watibeli anaitoa bureee tena yôte Kwa kutulilia na kutubembeleza. Na hajibani.
Elewa yafuatayo kuhusu Mwanamke linapokuja Swala na Mapenzi na ngono, tenà asikudanganye MTU; Iko hivi:
1. Mwanamke yeyote Duniani hawezi kumpunja Wala kumnyima tendo Mwanaume anayempenda.
Atampa yote.
Wanawake wanapenda kuombwa tendo na Wanaume wanaowapenda.
2. Mwanamke anayekupenda hawezi kukuuzia penzi hata iweje.
Ukiona mwanamke Bila Pesa hakupi au anatoa kishingo upande huyo hakupendi. Kwa Sisi Watibeli tunafukuza.
3. Mwanamke mara Mojamoja huingia TAMAA ya kutaka kuonja vya nje hasa Wakati àmbao akiona mahusiano Yake hayaendi Vizuri.
4. Mwanamke anayekupenda unaweza kumuamrisha Jambo lolote akafanya tenà Kwa mapenzi na furaha ilimradi akufurahishe.
5. Mwanamke anayekupenda haoni shida Kukupa Pesa na haoni uzito wowote Moyoni mwake
Ukiona mwanamke hajawahi kukupa Pesa au akikupa Pesa Roho inamuuma huyo Hakupendi. Kwa Sisi Watibeli tunafukuza.
Weka akilini hii, Mwanamke kama Hana uwezo wa kukupa Pesa Wakati Anazo Jua kûna Mtu alikuwa anampenda na alimpa hizô Pesa lakini akam- disappoint
6. Mwanamke asiyekupenda mchukulie kama Kahaba au Malaya Kwa sababu yeye mwenyewe hakuchukulii kama Mumewe au mpenzi wake. Yupo kwako after money.
Sababu zinazopelekea Mkeo akubanie na asijiachie kwako ila akiwa na wahuni au Michepuko anajiachia ni kama Ifuatavyo;
1. Mwanaume kujifanya Mtakatifu Sana.
Ikiwa wewe NI wale Wanaume àmbao unatafsirika na kuwa na mambo ya Kichungaji, kilokole, kisabato, kiostadhi, kisheikhe elewa Mkeo anataenda Kwa mfumo huohuo.
Mkeo hawezi kujiachia Ikiwa unamambo ya kitakatifu. Kujifanya mwemamwema Sana hasa ukiwa naye Faragha.
Usilete utakatifu wako kunako sita Kwa Sita. Kuwa bad boy. Usimwonee huruma kivile ila hakikisha mnawasiliana Wakati wa shughuli.
2. Kuwa Mstaarabu(muungwana) kitandani.
Unaweza usiwe na pigo za kilokole lakini Ukawa na upole flani hivi, yàani umepooa. Huna makeke, Huna mashamsham, Huna hekaheka, Huna swags na Mikogo.
Hujui Mitindo na Huwezi kuitumia. Usiwe hivyo.
Ushaambiwa Vitu vinaitwa vya faradha yàani Vitu àmbavyo haviwezi kutamkwa hadharani na havifai kuonyeshwa au kuonekana na Watu wengine Hapo Mimi usichoelewa?
3. Kushindwa Kumkojoza
Mwanamke ukishindwa Kumkojoza huchukia Sana. Inafikia Wakati anaona Haina maana hata akikupa maana utaishia kumuumiza tuu kihisia na kimwili.
Moja ya sababu ya Mkeo kukunyima tendo NI kuwa humfikishi Kileleni.
Mwanamke anayefika mshindo Hana ubavu wa kukunyima papuchi yake ujilie utakavyo.
Kama anasikia Raha na utamu, anafika mshindo hata ungemuudhi Kwa namna Ipi Siku Hasira zikishuka atamisi mjegeje.
Ukiona mwanamke anakunyima Kwa sababu mbalimbali Jua humridhishi. Humkojozi.
Mwanamke unayemkojoza kitendo cha kumwambia unàtaka mchezo hapohapo Akili na Hisia Zake zinaufanya Mwili usisimkwe na kukumbuka michezo iliyopita.
Mwanamke unayemkojoza utapiga Simu Moja tuu kama hauishi naye na atakuja au atakupa tarehe àmbayo atakuwa Huru.
Na Mwanaume ili ajiamini Kwa Mkewe lazima úwe na uwezo wa Kumkojoza Mkeo.
Huwezi Mtawala Mwanamke àmbaye humkojozi, atakuwa anakuchora tuu na hawezi kuwa submissive kwako(mtiifu kwako).
Ndîo Yale unamfokeafokea anakuangalia tuu huku Moyoni akikudharau akifika Kwa mchepuko wake anasimulia au akiwa na mashoga Zake anasimulia.
Mwanamke àmbaye humkojozi hawezi kukutunzia Siri zako yàani hawezi kuwa mwandani wako. Atajitahidi kuficha tuu lakini haitazidi Miaka mitatu ataamua kufunguka.
4. Huna Drama,Swags Wala Stories
ASIJE akakudanganya Mtu, Wanawake NI viumbe wanaopenda Swags, Maisha ya telenovela, tamthilia, drama,
Wanawake emotional entity wanaongozwa na Hisia. Hivyo Sanaa, drama, stories ni sehemu ya Maisha Yao.
NI katika stories, swags na drama Wanawake huonyesha HISIA zào.
Elewa Wanawake ni viumbe wanaopenda kuonyesha HISIA zào na pindi wakionyesha sharti zijaliwa, ziheshimiwe n.k.
Siô rahisi Kwa Mwanamke kuonyesha HISIA Zake Kwa Mwanaume asiye na swags, mcheshi, dramatically na mwenye Sanaa.
Muwekee Mwanamke Mziki mwambie acheze ukiwa umemnunulia nguo za kuvutia Kisha jikalie zako Kazi yako kumsifia. Au chezeni wôte. Wanawake wanapenda scenario za namna hiyo. Bila kujali Umri wao. Íwe NI Binti au Mwanamke Mtu mzima.
Mwanamke anampenda Mwanaume serious au kauzu katika majukumu ya Nyumbani na huduma za Nyumbani lakini linapokuja Swala la mapenzi wanataka Mwanaume mcheshi, mchombezaji, msifiaji, mwenye stories za kumfurahisha n.k.
Kiujumla mwanamke anataka Mwanaume full package Jambo ambalo Wanaume wengi Hatuna.
Lakini hata hivyo ukiwa na walau Asilimia 70 Wanawake watapigana Kufa kupona kwaajili yako.
5. Uchafu
Kama Sisi Wanaume tusivyoweza kujiachia Kwa Mwanamke mchafu anayenuka vivyohivyo Kwa Wanawake.
ASIJE akakudanganya Mtu Wanawake wnavutiwa na Wanaume watanashati, nadhifu tenà akiwa handsome boy inakuwa Sifa ya ziada.
Hata kama wewe siô handsome boy ukiwa mtanashati na nadhifu Mkeo atakuwa comfortable na wéwe.
Hata kama unafanya Kazi za kuvuja jasho siô sababu ya kuwa mchafu. Ukitoka Kazini, koga ujisafishe Vizuri, paka Mafuta mazuri, weka nywele na ndevu zako Vizuri. Nukia.
Hakuna Mwanamke àmbaye hatakupenda.
Mkeo anatakiwa akuonee wivu. Yaani ukitoka ahisi Wanawake WA Huko mitaani watakuiba. Wivu Kwa Wanawake NI ishara kûbwa Sana ya Upendo.
Kikawaida Wanawake wanaweza kukunyima au Kukupunja na kukupimia tendo Ikiwa Hawana wivu na wéwe, Hawana hofu ya kukupoteza na wanajua huko mtaani hakuna Mwanamke anaye
kutaka.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam