Sababu ya mkeo kujiachia akiwa kwa mchepuko lakini kwako anajibana na kukupunja

Sababu ya mkeo kujiachia akiwa kwa mchepuko lakini kwako anajibana na kukupunja

Wanawake hawajui wanachotaka hata wewe hapo unasema yale ambayo ni "labda" ila wanachotaka serious hawakijui na hata wakikijua hawawezi kuiweka wazi. Matarajio yao ni sisi wanaume tuotee na tufanye hayo ambayo wao wanataka.
Mwanamke anahitaji mtu jeuri mwenye kumtawala na hawezi kusema hili.
Mwanamke hataki umuombeombe msamaha ukimkosea na hawezi kusema.
Mwanamke hataki muda wote uwe nae hapa kwa hapa na hawezi kukwambia.
Mwanamke anapenda kuona mwanaume wake anapendwa na wanawake wengine ila hawezi kusema😀
Viumbe hawa ni wa kuwaangalia tu.
Usemavyo ndivyo walivyo na hawana sababu ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom