Sababu ya mkeo kujiachia akiwa kwa mchepuko lakini kwako anajibana na kukupunja

Ndo maana bad boys wanapasua sana papuchi za wake za watu.

Wanawake wanapenda kuteswa na bad boys, hawapendi walokole.

Asanteni bad boys kwa kuwanyoosha wake za walokole.
Yap truth to be told. Church boys, gents (si wote) need to understand this. Haijalishi huyo mwanamke umekutana nae wapi, wote wanatafuta ile thrill, hawataki by the book relation.
Too bad wanaume wengi wanalelewa wakiaminishwa na mama zao kuwa wanawake ni princesses, ukubwani ndio wanashtuka its too late
 
Naona umekwadhika wewe me au ke
 
hapa mtaani bado naona wapole na bad boyz wanakula demu mmoja,sasa mwanamke sijui ni kitu gani yaani....
vitaandikwa vitu vingi sana kuhusu wao lkn fumbo litabaki fumboni
 
Dah! Nimecheka kwa sauti mpaka watu wananishangaa wewe jamaa utengwe
 
Nina mda wa kutafuta pesa na kutumia sio kufurahisha mwanamke.

Kila mtu ashinde mechi zake 😆😆
 
Kiufupi unasema ili mwanamke atulie kwako akupende, mwanaume hutakiwi kuwa madhaifu yeyote yale. Yaani unatakiwa ufullfill her needs karibu kwa 95%.
 
Ndîo hivyohivyo Mkûu jambo àmbalo NI gumu
Sio kweli unatakiwa fulfill her needs kwa 95%. Mimi nina mwanamke ambaye ananitii vibaya mno nikimwambia tu nakuhitaji anakuja hata kama anaumwa, nikimwambia sina hela hanilalamikii wala nini ataniambia basi ukipata, na mara nyingi akiniomba ujue ana shida na ni pisi kali but mapenzi au upendo anaonipa haufanani kabisa na jinsi ninavyomuhudumia in short mimi ninampusha na sio kwamba nafanya maksudi but kanikuta kipindi kibaya financially na still yupo nami kama vile hakuna kitu.
 
Acha wakirenberembe nakukipelemba kikikutana na mtaalamu kinasema hewalaa 😄😄😄😄, siku hizi wanaume nao ni mitandao ti utazani madada wa kazi wanasahau hata majukumu ya ndoa utani mke alikuja kumfulia nguo tu nakumpikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…