UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga!
Tangu ligi ya NBC imeanza kiukweli binafsi hakuna mechi hata moja kutoka Kwa timu yangu ya Yanga iliyonishawishi na kunivutia!
Timu kwasasa inashinda Kwa mbinde na makosa ya Marefa (Ukweli lazima usemwe),sijaona kabisa timu ikitengeneza nafasi na Kuwa katiri kwenye lango la mpinzani,hii ni tofauti kabisa na msimu wa mwaka Jana!,Sasa bado sijaelewa ni mbinu na kiwango Cha Gamondi kimefika mwisho au tatizo ni wachezaji?
Mbona wachezaji takribani wote wa msimu wa mwaka Jana ndiyo hawahawa?,au shida ni kuchoka?
Wachezaji walioshuka kiwango Kwa Hali ya Juu!
1.Aziz Ki
Huyu jamaa Bado sijajua ni kitu gani kinamsumbua,yaani akiwa nje kabla hajaingia unaona namna anavyowaelekeza wenzie wakiwa dimbani utadhani yeye ndiye kocha!,ila akiingia uwanjani anacheza ovyo mnoo!
2.Khalid Aucho
Huyu yeye kiwango kimeshuka zaidi na Wala halihitaji binocular kuona hilo,kwasasa Babu Kaju ni Bora kuliko Aucho ila sema ndo vile Kwa Gamondi ni kama kalogewa!,jamaa anacheza vibaya na kiwango hakiridhishi hata kidogo,sijajua ni kutumika sana au umri umemtupa mikono!
3.Chadrak Boka
Bado sijajua sababu za kutokumuongezea mkataba Joyce Lomalisa zilikuwa ni zipi,Huyu Boka hamzidi kitu chochote Kibabage,kwasababu kama ni kukimbia wote wanakimbia na hatimaye huwa hawana mbinu mbadala,Joyce Lomalisa alikuwa ni habari nyingine linapokuja suala la utulivu na upigaji wa Krosi!,Kama Hersi aliamua kutomuongezea mkataba Lomalisa na kumletea Boka Kwa nia ya kuongezea hatari Kwa wapinzani,kiukweli hapa tumeingia chakike!,Boka Hana Ubora kama tulivyoaminishwa!
Naelewa timu za ligi kuu msimu huu ziko vizuri,hilo halina Ubishi!
Tatizo la timu yangu ya Yanga ni Kucheza vibaya kila mechi na kushinda Kuwa katiri kwenye lango la mpinzani tofauti na msimu uliopita!
Mechi ya Jkt wiki iliyopita walikuwa wanacheza mpira mzuri pamoja na kipa wao kupewa kadi nyekundu!,Hivi Yanga ya Msimu uliopita ingekuta Jkt kapewa redi kadi vile tena kipindi Cha kwanza,Nina hakika Jkt angekufa si chini ya goli 7!
Tatizo kwasasa pale Yanga ni Nini?, na Je tiba yake ni ipi?
Kila siku timu badala ya kuongeza kiwango ndiyo inashuka kiwango!