Sababu ya msoto ni kutomuwajibisha Gavana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tamko la kuweka ndani mashoga liliwaudhi sana nchi zilizoendelea, kule tunakopeleka bakuli ili tupate chenga za kupikia uji maisha yaendelee, wana heshima sana haki za binadamu.

Kitendo cha kutokumuwajibisha Gavana wa Dar kimechukuliwa kama ni dharau kwa wafachili wetu. Pia ni kuwa serikali inakubali kunyanyasa mashoga Tunapata msoto huu kisa ni mtoto mpendwa.

Pamoja na hayo bunge live , uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa kutoa maoni ni mojawapo ya sababu 15 zilizowekewa serikali ya mtukufu.
 
gavana = f(hirizi>jiwe)
 
Kwa mashoga nampongeza gavana wa dar
 
Sasa mashoga wa nini hata mimi namsapoti hiyo kitu sio kabisa
 
oyaaaaa nampongeza sana utake usitake kakitegeshe kwa mabasha wako misaada hainihusu.

I am so disappointed in you. Nilifikiri unaweza hata kuargue intelligently.

WB wametunyima misaada inayohusiana na elimu. Kwa maana hiyo elimu haikuhusu.

Denmark wamekuwa ni partners wetu kwenye afya na elimu kwa muda mrefu tu. Kwa hiyo wewe hiyo haikuhusu.

Unajua kiasi tunachopokea kwenye afya kutoka hizo nchi wahisani? Hizo ARVs na chanjo unadhani huwa mnanunua kwa hela zenu? Na unajua budget yake?

Inasikitisha sana unatoa maneno ya ajabu ajabu hapa jukwaani kutetea vitu visivyo na mashiko.

Kweli you could remove Numbisa at al from the Bush but you could not remove the bushes from her/his head.
 
Gavana kiboko ya mashoga.

Misaada tulishaanza kunyimwa tangu zamani hasa kwenye sakata la lissu kupigwa risasi.

Well done gavana. Hakunaga msaada wa bure jamani.
 
Gavana kiboko ya mashoga.

Misaada tulishaanza kunyimwa tangu zamani hasa kwenye sakata la lissu kupigwa risasi.

Well done gavana. Hakunaga msaada wa bure jamani.

Sasa shida Gavana hakuna alichobadilisha, labda kwa nyie instagrammers.

Mashoga wapo mtaani, misaada ndio hiyo tunanyimwa.

Waziri analalamika hali ni ngumu kwa sababu ya kunyimwa misaada.

Hali inapoelekea itakuwa mbaya sana, shillings itashuka thamani.

Ila hata usiku uwe mnene kiasi gani, asubuhi itafika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…