Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tamko la kuweka ndani mashoga liliwaudhi sana nchi zilizoendelea, kule tunakopeleka bakuli ili tupate chenga za kupikia uji maisha yaendelee, wana heshima sana haki za binadamu.
Kitendo cha kutokumuwajibisha Gavana wa Dar kimechukuliwa kama ni dharau kwa wafachili wetu. Pia ni kuwa serikali inakubali kunyanyasa mashoga Tunapata msoto huu kisa ni mtoto mpendwa.
Pamoja na hayo bunge live , uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa kutoa maoni ni mojawapo ya sababu 15 zilizowekewa serikali ya mtukufu.