Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

Hivi kuna uwezekano TANESCO wanakunganisha umeme kwenye nyumba bila kuweka CUT OUT?

Jibu ni kwamba sikuhizi mafundi wengi wa TANESCO huunganisha bila kuziweka kwakuamini kwamba ni vigumu sana shida kutokea katika mifumo yao, na mara nyingi vifaa hivyo huuzwa.
 
mifumo yao
you are missing a point, cut out haizuii shida kwenye mifumo ya 'Tanesco', cut out ina deal na mfumo wote wa wiring yote, 'shorti' ikiwa ya kiwango kikubwa sana, MCBs zinashindwa ( so nazo huungua kama huna cut out ),
cut out ndiyo ina react kwa shorti zenye kiwango kikubwa,
 
Sijui kama umeelewa nilicho sema.

Jamaa ni Layman kaona kwenye artical yangu nimeandika neno DB, kauliza ni nn?

nimemjibu Ni distribution board mataa huwa watu wanaita mainswitch

naamini hata yeye maiswitch anaijua kimtaamtaa

Pia siyo kila DB ni distribution board. DB inaweza kuwa: Daud Bashite, Dirty Bastard, Data Base, deciBell, etc.
 
nimejifunza kitu kikubwa sana hapa

Huku mtaani mafundi wetu wamekariri MCB ya 16A ni kwaajili ya lighting na ya 20A kwa sockets....

kumbe hizi rating zitaamuliwa na kiasi cha mzigo katika sakiti husika.
 
Sawa kabisa boss. Kama Mc za saiz husika hazipo nunua, sio lazima utumie ambazo zipo kwenye DB
 
Naomba kujifunza niliwahi kuwa TV Flat ya mtumba hii tv umeme ukiwa mdogo haiwaki kiasi kwamba nilikuwa mpaka usiku wa saa tano na kuendelea ndio unaweza kuwasha sasa swali langu inamaana hawa Tanesco huwa wanatoa uduma ambayo haikizi au ni pungufu au ni uelewa wangu mdogo
 
Hawa mafundi wetu wa mitaani watayajulia wapi haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…