Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko
Wala kuoneana aibu.

Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo.

Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa.

Kwa sasa ni tofauti nyeusi kama nyeusi na kama siyo nyeusi ni nyeusi tu that is why timeporomoka.
 
Back
Top Bottom