The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Nov 13, 2022 #1 Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi kama nyeusi na kama siyo nyeusi ni nyeusi tu that is why timeporomoka. Your browser is not able to display this video.
Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi kama nyeusi na kama siyo nyeusi ni nyeusi tu that is why timeporomoka. Your browser is not able to display this video.
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Nov 15, 2022 #2 Tunauacha uchumi wa kati mda si mrefu