Poor reasoning........................................................Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes Putin hakuna cha No.
Na pia kutaenda kuwapunguza idadi yao kwa risasi na makombora ya Ukraine
Kifupi anawapeleka machinjoni sababu hawana uzoefu wa vita wakachinjwe huko
NonsenseKumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes Putin hakuna cha No.
Na pia kutaenda kuwapunguza idadi yao kwa risasi na makombora ya Ukraine
Kifupi anawapeleka machinjoni sababu hawana uzoefu wa vita wakachinjwe huko
Huyo jamaa hakufaulu hata chekechea.Poor reasoning........................................................
Kabisa umepigilia msumari penyewe kwenye fuvu la kichwa cha Putin.Uko sahihiAcha wakupinge ila umewaambia ukweli, putin anajua wazee wenzake wa zaman wa USSR na familia zao ndo wanampenda hawa wengine hawampendi. Kwahiyo lazima awapoteze.
Kisu kishingoni maamaeKumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes Putin hakuna cha No.
Na pia kutaenda kuwapunguza idadi yao kwa risasi na makombora ya Ukraine
Kifupi anawapeleka machinjoni sababu hawana uzoefu wa vita wakachinjwe huko
Huu si upuuz ni habar za kusikitisha kwa proputiniUjinga Mtupu
yaani Mtu na Akili yake anaandika Upuuzi kama huu!!
Watoto wake Putin na ma Oligarchs wake na mawaziri na wabunge na majaji wamewaficha wanakamata watoto wa maskini na wa wafanyakazi na wakulima kwa nguvu kupeleka vitani.Mbona mitoto yao hawaipeleki.?Kisu kishingoni maamae
Jamaa aliwajibu polisi mimi sijui kupigana na sijawahi pigana na mtu yoyote, jamaa kamkwida
View attachment 2369044