MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ndiyo iliyomng'oa mkuu baba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, hata kama mimi sio mtaalam wa sektabya afya, muwe mnatumia akili kidogo kutudanganya. Hivi kwa akili ya kawaida tu, kirusi kinawezaje kusababisha ‘Cancer’? Kwanza tujue cancer ni nini, na mechanism ya kansa ikoje, tukishajua hii, mtaona how absurd it is kusema kirusi kinasababisha cancer, how? What sort of mechanics could enable a virus to actually cause cancer, naomba kuelimishwa.., maana hii ni sawa na useme radi imesababishwa na jengo kuwa refu..
Nimehoji, cancer ni nini? Pili nikahoji, what mechanics could possibly enable a virus to cause cancer, mbona nimeeleweka kabisa, wewe jibu hiyo hoja, sio uniambie nikasome, hivi mti ambae hajasoma anaweza kuuliza kwa namna hii?U
Unajua kuna mambo mangapi yanayosababisha cancer?
Ni vizuri ukasoma kwanza kabla kubisha vitu usivyovijua
Mimi sijabisha kwamba aliambiwa hivyo. Nilichouliza ni cancer ni nini? Na kuna mechanism ipo inayomuwezesha kirusi kusababisha cancer, hivi mnashindwaje kujibu hoja mnakimbilia kuzunguka mbuyu?Nina jamaa yangu alipata kansa ya ini.. na ocean road aliiambiwa sababu ni kirusi cha hepatitis kilichokutwa kwenye damu yake
Angejua mapema na kupata dawa za ARV virusi vingekosa nguvu ya kusababisha kansa...
Jamaa alifariki kwa hiyo kansa ya ini
MkuuNimehoji, cancer ni nini? Pili nikahoji, what mechanics could possibly enable a virus to cause cancer, mbona nimeeleweka kabisa, wewe jibu hiyo hoja, sio uniambie nikasome, hivi mti ambae hajasoma anaweza kuuliza kwa namna hii?
Mimi nataka wewe unieleze kile unachoelewa, na sio matango pori uliyoloshwa kwenye tovuti mbali mbali huko mitandaoni, nimezisoma pia, ni matango pori tu, hakuna logically acceptable mechanism ya kirusi kuleta kansa, haipo, kama ipo fafanua, how?! 🤷🏽♂️Mkuu
Inaonyesha wewe ni mvivu sana wa kujisomea,
Kwa dunia ya Sasa hata Kama hujasoma afya,
Ungekuwa ushapita mitandaoni na kupata jibu
Badala yake unaendeleza ubishi unaonyesha ujinga mkuu,
Nenda kwenye tovuti ya afya wanaelezea pia
Kimsingi hapa mzungu atatumbia kila mbinu hadi hiki kizazi kiwe na matasa kwa asilimia 90% sababu tumeamua kumuamini yeye zaidi kuliko sisi wenyewe kufanya tafiti.Jamani, hata kama mimi sio mtaalam wa sektabya afya, muwe mnatumia akili kidogo kutudanganya. Hivi kwa akili ya kawaida tu, kirusi kinawezaje kusababisha ‘Cancer’? Kwanza tujue cancer ni nini, na mechanism ya kansa ikoje, tukishajua hii, mtaona how absurd it is kusema kirusi kinasababisha cancer, how? What sort of mechanics could enable a virus to actually cause cancer, naomba kuelimishwa.., maana hii ni sawa na useme radi imesababishwa na jengo kuwa refu..
Kansa haiambukizwi ni cell za mwili zinageukana na kuleta shida sio tatizo la kuambikiza bali ni tatizo ambalo husababishwa na seli za mwili kuoperate tofauti na nature yake.U
Unajua kuna mambo mangapi yanayosababisha cancer?
Ni vizuri ukasoma kwanza kabla kubisha vitu usivyovijua
Yes nimeona virus inaweza kufanya kansa...Kimsingi hapa mzungu atatumbia kila mbinu hadi hiki kizazi kiwe na matasa kwa asilimia 90% sababu tumeamua kumuamini yeye zaidi kuliko sisi wenyewe kufanya tafiti.
Ametutafuta kwenye chanjo za corona ametukosa kaona atuwinde huku kwenye chanjo ya kansa. Toka lini kansa ikawa na kirusi kinachoisababisha?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania wana elimu ila bado kufikiri ni changamoto.
Wazungu miaka hii wanatumia mitandao kupotosha. Imagine wanasema now kuna watu wanazaliwa na genetics za tofauti yaani badala ya XY kwa mwanaume na XX kwa mwanamke eti kuna XXY, mara XYX, mara XXxY. Yaani upumbavu mtupu.Mkuu
Inaonyesha wewe ni mvivu sana wa kujisomea,
Kwa dunia ya Sasa hata Kama hujasoma afya,
Ungekuwa ushapita mitandaoni na kupata jibu
Badala yake unaendeleza ubishi unaonyesha ujinga mkuu,
Nenda kwenye tovuti ya afya wanaelezea pia
Nipe mifano.Yes nimeona virus inaweza kufanya kansa...
Mkuu HPV nimetafuta kijuu juu inaweza kusababisha cervical cancer ambayo nadhani ndio hio cancer ya shingo ya kizaziKansa haiambukizwi ni cell za mwili zinageukana na kuleta shida sio tatizo la kuambikiza bali ni tatizo ambalo husababishwa na seli za mwili kuoperate tofauti na nature yake.
HPV.Nipe mifano.
But why specific group of people and if huyo virus yupo kwann hapatikani kwa wanawake wengine maeneo tofauti.Mkuu HPV nimetafuta kijuu juu inaweza kusababisha cervical cancer ambayo nadhani ndio hio cancer ya shingo ya kizazi
i think waangalie na kuestablish kama ni hiki ki virus, kwa nini watu wa huko wako susceptible kupata hiko kirusi,,
Tiba ni kuwafanyia screening kwa HPV , sababu hii nadhani ndio warning sign kuwa inaweza kuleta cancer
I know and huwa nasoma ila huwa najaribu kutazama na YouTube Doctors especially waafrika wa marekani then naanza kupata taarifa za tofauti sana.HPV.
Hepatitis C
Mkuu wala hupotezi muda mwingi kupata hii info,Google siku hizi wanatoa scereen shot, LOL
Mkuu wewe ni mbishi,lolBut why specific group of people and if huyo virus yupo kwann hapatikani kwa wanawake wengine maeneo tofauti.
Ni kama issue ya coronavirus, walikuwa wanapush chanjo sana watu tukashtuka, wakaona waje na story kuwa virus anabadilika sana, tukasema wacha tuone anatudhuru vipi unaona sasa hivi walivyopoa nani anafuatilia tena upuuzi wao?!
Hii wanataka kuwamaliza akina dada in the future mzae watoto wasio sawa au kuacha kuzaa kabisa.
Kuna vitu vipo very odd. Tazama issue ya vidonge vya uzazi , imewaharibu mabinti wengi sana miji ya uzazi na kuwadisturb moods zao kupitia disruption ya ovulation cycle.
Ndio maana miaka hii mwanamke anakuwa na mood swings za hovyo, na anaweza hata asiwe na sex drive nzuri kama miaka ya nyuma ambayo mwanamke akishikwa bega tu analoa na yupo tayari kupanda kitandani.
Kuna vitu hawa mbuzi wanafanya behind the scene. Haya machanjo ya polio now unaona wanavyoyakazinia?!
Am telling you hizi chanjo za sasa za polio si sawa na zile za miaka tulichoma sisi. Something is very fishy.
Ma'lab technicians wetu wapo corrupted na compromised. Something is off kiukweli.
Kama mtaalamu Kwanini usielimishe badala ya kuandika vitu vinahang!? Au unataka uonekane umeandika!?? Jadili kisomi! Criticize then weka factsU
Unajua kuna mambo mangapi yanayosababisha cancer?
Ni vizuri ukasoma kwanza kabla kubisha vitu usivyovijua
Na hapo kila mtoto wa kike masikini ya Mungu anachomwa hiyo chanjo, hawajui hili wala lile, tena wanawawahi kabla hawajaoata ujauzito, baadae wanaanza kuteseka kwa Dokta mwaka masikini, mimi nishaseme, mtoto wangu hachomwi chanjo nisiyoielewa kiundani au ya majaribio, logically na yenye mantikiKimsingi hapa mzungu atatumbia kila mbinu hadi hiki kizazi kiwe na matasa kwa asilimia 90% sababu tumeamua kumuamini yeye zaidi kuliko sisi wenyewe kufanya tafiti.
Ametutafuta kwenye chanjo za corona ametukosa kaona atuwinde huku kwenye chanjo ya kansa. Toka lini kansa ikawa na kirusi kinachoisababisha?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania wana elimu ila bado kufikiri ni changamoto.