Weka Kapicha cha Barbara tafadhari.
Utopolo si mmemchukua, furahini sasa mfanye naye kazi kwa weledi@ MsitufokeeTuache kudanganya watu ili kujipatia umaarufu mitandaoni.
Senzo ametokea kwenye nchi iliyopiga hatua sana kimaendeleo ya mpira wa miguu, kwa weledi alio nao hawezi kufanya ujinga wa aina hiyo mpaka yeye mwenye ajishtukie na kuandika barua ya kujiuzulu.
Sisi wenyewe kama Simba SC tulikosea pahala kiuweledi.
Waswahili wanapenda majungu sana.Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi ya Msaidizi. Na pia kwa sasa ingawa haiko wazi lakini inasemekana huu ndio "Kaimu CEO" pale Simba kwa muda huu.
Binti huyu inasemekana hana Background ya masuala ya Mpira, lakini kutokana na ukaribu wake na MO basi amejikuta amepenya penya mpaka nae amekua katika management ya Club ya Simba
Huyu inasemekana amekua akimfikishia MO habari nyingi kuhusu mambo mbalimbali, ambazo pengine sio zote ni za kweli (Majungu), na vile MO "hapindui" kwa huyu mdada basi amekua akifanyia kazi habari hizo bila hata kuzichunguza.
Waliobaki pale Simba wamekua wakimuogopa huyu Mdada wakiogopa kugombana na MO pale wanapopishana kauli na huyu Binti. Na wakati mwengine Senzo au Staff mwengine pale ambapo akimshitakia Binti huyu kwa MO basi MO humfikishia habari hizo BARBARA ili waangalie wanalitatuaje.
Senzo anaposema ameona anapita njia tofauti na MO, basi ni pale wanaposhindwa kuelewana juu ya BARBARA. Habari hizi ni exclusive kutoka kwa mtu ndani ya Simba S. C. ambae utambulisho wake kwa sasa nauweka kapuni.
Mwamedi kaziibaView attachment 1545728
Haihusiani na mada lakini.
SA imeendelea kumpira kati nyanja hipi mdau labda kiuchumi?Tuache kudanganya watu ili kujipatia umaarufu mitandaoni.
Senzo ametokea kwenye nchi iliyopiga hatua sana kimaendeleo ya mpira wa miguu, kwa weledi alio nao hawezi kufanya ujinga wa aina hiyo mpaka yeye mwenye ajishtukie na kuandika barua ya kujiuzulu.
Sisi wenyewe kama Simba SC tulikosea pahala kiuweledi.
Umeweka unazi pembeni na kusema iliyo kweli. Binafsi nimetazama CV ya Senzo ikatosha kabisa kunipa jibu kwamba licha ya Simba kujinadi kufanya mabadiliko ya kimfumo lakini bado kuna ule "uswahili" wetu kama kawaida. Senzo amesimamia ujuzi wake ili asije akaingia kwenye rekodi za hovyo. Maana yake ni kwamba hata Yanga nao wakileta uswahili basi tutegemee hali hii kujirudi.Tuache kudanganya watu ili kujipatia umaarufu mitandaoni.
Senzo ametokea kwenye nchi iliyopiga hatua sana kimaendeleo ya mpira wa miguu, kwa weledi alio nao hawezi kufanya ujinga wa aina hiyo mpaka yeye mwenye ajishtukie na kuandika barua ya kujiuzulu.
Sisi wenyewe kama Simba SC tulikosea pahala kiuweledi.
Bosi anajali sana wafanyakazi wake! Anatuma hadi ukurasa wake kutangaza kutoa zawadi kwa atakayerudisha simu ya sekrati wake π!!!View attachment 1545728
Haihusiani na mada lakini.
Katika Simba day zilizo flop ya jana inaongoza. Matumizi mengi ya hela, wanasimba wachache kulinganisha na zilizopita. haina nguvu wala hamasa, yaani kama watu wamelazimishwa.bado mnahangaika na senzo??
mmeuona moto leo uwanja wa taifa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ni km pole pole anavyommudu jiweKuna watu hawajui hata marehemu Mengi kuna mwanamke mmoja alikuwa na sauti na mzee alikuwa hakohoi hii ni kawaida kwa mabosi kunakuwa na mtu wanayemwamini kupita kiasi ndio maana kuna msemo mpambe anakuwa mwenye nguvu kuliko bosi
hatimae.....
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi ya Msaidizi. Na pia kwa sasa ingawa haiko wazi lakini inasemekana huu ndio "Kaimu CEO" pale Simba kwa muda huu.
Uligonga mule mule. Sasa ni dhahiri. Akina Mhaini na Tapeli wa mfuko wa Jamii wajiandae.Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi ya Msaidizi. Na pia kwa sasa ingawa haiko wazi lakini inasemekana huu ndio "Kaimu CEO" pale Simba kwa muda huu.
Binti huyu inasemekana hana Background ya masuala ya Mpira, lakini kutokana na ukaribu wake na MO basi amejikuta amepenya penya mpaka nae amekua katika management ya Club ya Simba
Huyu inasemekana amekua akimfikishia MO habari nyingi kuhusu mambo mbalimbali, ambazo pengine sio zote ni za kweli (Majungu), na vile MO "hapindui" kwa huyu mdada basi amekua akifanyia kazi habari hizo bila hata kuzichunguza.
Waliobaki pale Simba wamekua wakimuogopa huyu Mdada wakiogopa kugombana na MO pale wanapopishana kauli na huyu Binti. Na wakati mwengine Senzo au Staff mwengine pale ambapo akimshitakia Binti huyu kwa MO basi MO humfikishia habari hizo BARBARA ili waangalie wanalitatuaje.
Senzo anaposema ameona anapita njia tofauti na MO, basi ni pale wanaposhindwa kuelewana juu ya BARBARA. Habari hizi ni exclusive kutoka kwa mtu ndani ya Simba S. C. ambae utambulisho wake kwa sasa nauweka kapuni.
πππ sema tena.Nimejaribu kusoma na kurudia tena andiko lako lakini sijaona sababu unayosema ya Senzo kuacha kazi!!
Mo ni mtu msomi na mwenye exposure nzuri tu, ana Manage kampuni kubwa na ametoa mchango mkubwa tu ktk kumleta Senzo mwenye professional yake ikiwemo na kumlipa mshahara mnono,
Sasa leo hii eti Senzo aondoke Simba kisa kamdada kamoja eti kamepeleka umbeya kwa boss kubwa basi ndio iwe sababu,, mbona umeichukulia taaluma na ajira ya Senzo kama deiwaka vile,, yaani ajira yake iwe kama dereva bajaji vile eenh!????
Au ndio mmekaa vijiweni kwenu huko mkalishana tango pori ukaona ukimbie mkukumkuku kuja kupost humu
Mtani unasemaa? πππ