Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Mapokezi fc wape salaam vyura waambie tunakuja hapo juuMbeleko fc.
Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa..Refa ndio anawaamulia matokeo!
Waende hata FIFA wanalalamika daily kama changudoa aliyekopwa.Penalt kwenu ni sawa ila kwa Simba ni kubebwa..
Andaeni mabango mwende hadi TFF.