Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja kuzaa offside dakika za lala salama.