Ungesema tu kuwa Yanga ni ya 7 kutoka mwisho ungeeleweka zaidi...Naona kuna watu wasiolewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi ni kwamba Simba wamepata nafasi kwavile timu zingine zenye nafasi zao zimeshindwa kifuzu kuingia michuano ya klabu bingwa mfano Kaizer chiefs ila kwa upande wa rank ni kwamba Simba ni ya 16
Hii hapa rank za timu pamoja na points walizokunya kwenye michuano ya kimataifa.View attachment 1893675
Mada ilikuwa ni kuweka sawa mawazo ya watu maana wengi walikuwa wanajiuliza na kisha kuzusha majibu ya vichwani mwao kuwa Simba imeshika nafasi ya 10 wakati ipo nafasi ya 16. Kuhusu Yanga ina hali mbaya kati ya timu zote zilizowahi kushiriki michuano ya kimataifa yeye wa 7 toka chini.Ungesema tu kuwa Yanga ni ya 7 kutoka mwisho ungeeleweka zaidi...
anazunguuuuuka 😂😂Ungesema tu kuwa Yanga ni ya 7 kutoka mwisho ungeeleweka zaidi...
imewauma kweli mashabiki wa uto, wakiambiwa Simba ni klabu kubwa africa wanajitoa ufahamu..anazunguuuuuka 😂😂
Lile pira biriani alilolisakata Simba linatosha kabisa kuwa kigezo cha Simba kupewa nafasi kwakuwa liliwapendeza viongozi wa wote wa CAF.Hapana maelezo yako hayajashiba,swali linarudi palepale kwanini Simba,vigezo gani vilitumika Simba kupewa hiyo nafasi na isiwe timu nyingine zilizofufu kucheza CAFCL?
Kwasababu timu zilizo nafasi ya juu ya Simba ambayo ni Kaizer chiefs, Js Kabyile, As vital, pyramids, Berkane, Enyimba hazikufuzu kwenye ligi zao kucheza champions league msimu huu.Hapana maelezo yako hayajashiba,swali linarudi palepale kwanini Simba,vigezo gani vilitumika Simba kupewa hiyo nafasi na isiwe timu nyingine zilizofufu kucheza CAFCL?
Huyu Karia huyuuu.......haiwezekani! Tutaenda "KASI" kushtaki!Ungesema tu kuwa Yanga ni ya 7 kutoka mwisho ungeeleweka zaidi...
Kwa nini zimeshindwa kufuzu?...Usahihi ni kwamba Simba wamepata nafasi timu zingine zenye nafasi zao zimeshindwa kufuzu kuingia michuano ya klabu bingwa
Hazijawa za Kwanza katika Ligi za Kwao.Kwa nini zimeshindwa kufuzu?
Basi ndio udhaifu wenyewe huoHazijawa za Kwanza katika Ligi za Kwao.
Kaizer Chief haipo 6 bora kwenye msimamo wa ligi ya South Afrika sasa ingeshiliki vipi Club Bingwa.
Hapa sasa umedadavua vizuri sana,Utopolo wasio elewa sasa wameelewa kuwa Simba ipo juu kwa sasa.Kwasababu timu zilizo nafasi ya juu ya Simba ambayo ni Kaizer chiefs, Js Kabyile, As vital, pyramids, Berkane, Enyimba hazikufuzu kwenye ligi zao kucheza champions league msimu huu.
Simba ni ya 16 katika rank. Timu zilizopo kwenye rank ni9 tu ndio zimefanikiwa kufuzu kwenye nchi zao kucheza champions league lakini timu sita nilizozitaja hapo juu hazikuweza kufuzu kwenye ligi zao hivyo nafasi imepewa Simba ambaye anashika nafasi ya 16
Mtateseka saana na bado!Naona kuna watu wasioelewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi ni kwamba Simba wamepata nafasi kwavile timu zingine zenye nafasi zao zimeshindwa kifuzu kuingia michuano ya klabu bingwa mfano Kaizer Chiefs ila kwa upande wa rank ni kwamba Simba ni ya 16
Hii hapa rank za timu pamoja na points walizokusanya kwenye michuano ya kimataifa.View attachment 1893675