Sababu ya Sinza kuwa na mashoga wengi

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Sinza kuna mashoga wengi kwa sababu aina ya maisha ya kule yapo juu sana.

Kumbi za starehe zipo kila mtaa na zinapiga siku zote j
Jumatatu mpaka Jumatatu yani hamna kupoa

Vijana wanatafuta kila namna wavimbe kila siku ndo utakuta wengine wanakuwa matapeli wengine wanakuwa machawa wengine makuwadi wengine ndo hivyo wazee wa vitonga kuserereka na bia za bure bure

Mwisho wa siku wanaishia kuwa mashoga maana kipato kidogo kuliko maisha feki wanayoishi

Utakuta mtu anakunywa pombe kuanzia usiku mpaka kesho yake mchana anaenda kulala jioni anataka aendelee tena kuserereka na pombe ndo matokeo yake ushoga

Tena wengine wanafanywa nyuma kimya kimya japo sio michezo yao utakuta unaona mtu yupo fresh ukichunguza alishawahi kufir.w.a kutokana na tamaa au madeni
 
Madeni, kitonga, pombe n.k sio sababu ya mtu kuwa shoga, hao wanapenda tu wenyewe.

Umesema kuna matapeli na wezi, sasa kwanini na wao wasiamue kuwa matapeli au wezi, badala yake wanachagua kupelekewa moto? Wanapenda tu wenyewe
 
Waambie wanao wa Sinza walale chali ,kifudi fudi watawapa wahuni lawama .
 
Nakuunga Mkono,Lakin Bado Nitaendelea Kupapenda Sinza Ingali Sio Mtu wa Sifa Tajwa Hapo juu,Tunaishi Maisha Ya Usiku Kama Mchana,Hakuna Vibaka Kama Manzese[emoji1787].
 
Hizi mada za mashoga mnazianzisha za kazi Kani kmmk , si muachane nazo tu...Kama mnayapenda hayo Mambo si mkafanye huko....Kuna vitu hata sio vya kuzungumzia ...huko njombe unaundiwa tume kmmk mleta uzi
 
Wahurumieni,msiwafanye ivo watoto wetu hao jaman
 
Konde boy anatoa vitu mpaka basi, diamond kwisha habari yake
 
Kuna ukweli fulani katika hayo uliyoyazungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…