Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.
Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa yakiendelea kipindi hicho ndani ya uongozi wa klabu ya Yanga.
Hivyo basi Simba kiasili imezaliwa kutokana na mgawanyiko ndani ya klabu ya Yanga na mgawanyiko au mgogoro huu ndiyo umezaa kauli mbiu hizi mbili za "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO NA NGUVU MOJA"
TWENDE KWENYE MGOGORO
Mnamo katikati ya miaka ya 1935 wakati ipo timu ya Yanga pekeyake kabla ya kuzaliwa kwa timu ya Simba kulitokea tajiri wa kiarabu aliyefahamika kwa jina la Maamud Salim mustafa,mwarabu huyu alikuwa na mapenzi makubwa sana na soka na pia alitumia utajiri wake kwa kiasi kikubwa katika kuifadhili timu ya Yanga.
Pamoja na mapenzi yake makubwa katika soka tajiri huyu alikuwa na tabia mbaya za ubahasha,hivyo alitumia utajiri wake kuwarubuni baadhi ya wanachama na kuweza kuwalawiti. Baada ya uongozi wa Yanga kupata taarifa ya kulawitiwa kwa baadhi ya wanachama wake uongozi ulichukua hatua kali za kuwafukuza uanachama na kumfukuza tajiri huyu wa kiarabu na kwa msisitizo wakaanzisha kauli mbiu iliyosema"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Na baada ya wanachawa waliokuwa wanalawitiwa kutimuliwa waliamua kuanzisha timu yao walioipa jina ya Queens baadae Simba na kuamua kuja na kauli mbiu ya Nguvu moja yani pamoja na kutimuliwa bado nguvu yao ipo pale pale!!