Sababu ya timu ya Yanga kutumia kauli mbiu ya "Daima mbele nyuma mwiko"na timu ya Simba kutumia kauli mbiu ya "Nguvu moja"

Kwahiyo yanga walibanduliwa na mwarabu? Mzee manara vp ye hakubanduliwa kweli? Mzee k naye vp hakubanduliwa kweli?
 
Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.

Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa yakiendelea kipindi hicho ndani ya uongozi wa klabu ya Yanga.

Hivyo basi Simba kiasili imezaliwa kutokana na mgawanyiko ndani ya klabu ya Yanga na mgawanyiko au mgogoro huu ndiyo umezaa kauli mbiu hizi mbili za "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO NA NGUVU MOJA"
TWENDE KWENYE MGOGORO

Mnamo katikati ya miaka ya 1935 wakati ipo timu ya Yanga pekeyake kabla ya kuzaliwa kwa timu ya Simba kulitokea tajiri wa kiarabu aliyefahamika kwa jina la Maamud Salim mustafa,mwarabu huyu alikuwa na mapenzi makubwa sana na soka na pia alitumia utajiri wake kwa kiasi kikubwa katika kuifadhili timu ya Yanga.

Pamoja na mapenzi yake makubwa katika soka tajiri huyu alikuwa na tabia mbaya za ubahasha,hivyo alitumia utajiri wake kuwarubuni baadhi ya wanachama na kuweza kuwalawiti. Baada ya uongozi wa Yanga kupata taarifa ya kulawitiwa kwa baadhi ya wanachama wake uongozi ulichukua hatua kali za kuwafukuza uanachama na kumfukuza tajiri huyu wa kiarabu na kwa msisitizo wakaanzisha kauli mbiu iliyosema"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Na baada ya wanachawa waliokuwa wanalawitiwa kutimuliwa waliamua kuanzisha timu yao walioipa jina ya Queens baadae Simba na kuamua kuja na kauli mbiu ya Nguvu moja yani pamoja na kutimuliwa bado nguvu yao ipo pale pale!!
Matumizi mabaya ya muda
 
Ndo kusema simba ni mabasha siyo? Kwamba walikubali kulawitiwa na mwarabu ila umoja wao ukawa pale pale..daaah
 
Kwahiyo yanga walibanduliwa na mwarabu? Mzee manara vp ye hakubanduliwa kweli? Mzee k naye vp hakubanduliwa kweli?
Waanzilishi wa simba ndiyo waliobanduliwa soma uzi vizuri
 
Na umesahau kitu muhimu sana hayo yaliyotimuliwa yote yalikua mabumbumbu kweli kweli na ndio yaliyoshindwa kutamka neno Young na kutamka Yanga.
Kifupi bila bao la Young hakuna Queens/Simba si unaona hata msemaji wao alikua anasema huku kabana pua et wanasiiiiiiiimbaaaaaa.
 
Doh... Kumbe masimba ni mashoga yaliyotimuliwa Yanga[emoji28]🥱... Hata hvyo nilijiulizaga sana ilikuaje mijanaume mizima kujiita jina la kirembo eti 'Queens'
Wakati Mwarabu anafanya yake ilikuwa ndani ya Yanga kwahiyo walioliwa ni wana Yanga. Alafu ndomana hiyo mbegu bado ipo...nikumbushe ya Kabwili please.
 
Mazembe wanashida nyingi nje ya uwanja ndio maana hatakufanya vzr kwao mtihani wanaweza fungwa hata sitashangaa kabisa
Shida zipi hizo!? Watu wameahidiwa mamilioni na Moize Katumbi unakuja kusema wana shida!?
 
Na umesahau kitu muhimu sana hayo yaliyotimuliwa yote yalikua mabumbumbu kweli kweli na ndio yaliyoshindwa kutamka neno Young na kutamka Yanga.
Kifupi bila bao la Young hakuna Queens/Simba si unaona hata msemaji wao alikua anasema huku kabana pua et wanasiiiiiiiimbaaaaaa.
Ni athari za ushoga yani hawawezi kukaza
 
Huo ndio upepo wa akili yako, unaweza kuwa hujakutanana mtu Ila ukisoma maandishi yake unamjua tabia na mazingira anayoishi.
 
IMG_20241231_164052_104.jpg
 
Shida zipi hizo!? Watu wameahidiwa mamilioni na Moize Katumbi unakuja kusema wana shida!?
Mwanadamu anapenda mazuri tu na hasa ukiwa mvivu kutafuta ukweli,wkt wanaenda cheza na Al Hilal ya Ibenge airport walizuiwa 3 times tena nchini kwao wkt vibali vyote wanavyo, ni moja ya timu ambazo mpk serikali yao hawaipendi usifikirie wanapata ushirikiano km zilivyo timu za nchi nyingine haya yote kwakua boss wao ni mpinzani mkubwa sana wa serikali
 
Back
Top Bottom