MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Acha uongo we jamaa…hujui kulikua na kauli mbiu za Umoja wa mataifa kwa Yanga na Taifa kubwa kwa Simba kitambo icho kabla ya hizi za sasa.
Matumizi mabaya ya mudaHistoria inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.
Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa yakiendelea kipindi hicho ndani ya uongozi wa klabu ya Yanga.
Hivyo basi Simba kiasili imezaliwa kutokana na mgawanyiko ndani ya klabu ya Yanga na mgawanyiko au mgogoro huu ndiyo umezaa kauli mbiu hizi mbili za "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO NA NGUVU MOJA"
TWENDE KWENYE MGOGORO
Mnamo katikati ya miaka ya 1935 wakati ipo timu ya Yanga pekeyake kabla ya kuzaliwa kwa timu ya Simba kulitokea tajiri wa kiarabu aliyefahamika kwa jina la Maamud Salim mustafa,mwarabu huyu alikuwa na mapenzi makubwa sana na soka na pia alitumia utajiri wake kwa kiasi kikubwa katika kuifadhili timu ya Yanga.
Pamoja na mapenzi yake makubwa katika soka tajiri huyu alikuwa na tabia mbaya za ubahasha,hivyo alitumia utajiri wake kuwarubuni baadhi ya wanachama na kuweza kuwalawiti. Baada ya uongozi wa Yanga kupata taarifa ya kulawitiwa kwa baadhi ya wanachama wake uongozi ulichukua hatua kali za kuwafukuza uanachama na kumfukuza tajiri huyu wa kiarabu na kwa msisitizo wakaanzisha kauli mbiu iliyosema"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Na baada ya wanachawa waliokuwa wanalawitiwa kutimuliwa waliamua kuanzisha timu yao walioipa jina ya Queens baadae Simba na kuamua kuja na kauli mbiu ya Nguvu moja yani pamoja na kutimuliwa bado nguvu yao ipo pale pale!!
Ndo kusema simba ni mabasha siyo? Kwamba walikubali kulawitiwa na mwarabu ila umoja wao ukawa pale pale..daaahHistoria inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971.
Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa yakiendelea kipindi hicho ndani ya uongozi wa klabu ya Yanga.
Hivyo basi Simba kiasili imezaliwa kutokana na mgawanyiko ndani ya klabu ya Yanga na mgawanyiko au mgogoro huu ndiyo umezaa kauli mbiu hizi mbili za "DAIMA MBELE NYUMA MWIKO NA NGUVU MOJA"
TWENDE KWENYE MGOGORO
Mnamo katikati ya miaka ya 1935 wakati ipo timu ya Yanga pekeyake kabla ya kuzaliwa kwa timu ya Simba kulitokea tajiri wa kiarabu aliyefahamika kwa jina la Maamud Salim mustafa,mwarabu huyu alikuwa na mapenzi makubwa sana na soka na pia alitumia utajiri wake kwa kiasi kikubwa katika kuifadhili timu ya Yanga.
Pamoja na mapenzi yake makubwa katika soka tajiri huyu alikuwa na tabia mbaya za ubahasha,hivyo alitumia utajiri wake kuwarubuni baadhi ya wanachama na kuweza kuwalawiti. Baada ya uongozi wa Yanga kupata taarifa ya kulawitiwa kwa baadhi ya wanachama wake uongozi ulichukua hatua kali za kuwafukuza uanachama na kumfukuza tajiri huyu wa kiarabu na kwa msisitizo wakaanzisha kauli mbiu iliyosema"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Na baada ya wanachawa waliokuwa wanalawitiwa kutimuliwa waliamua kuanzisha timu yao walioipa jina ya Queens baadae Simba na kuamua kuja na kauli mbiu ya Nguvu moja yani pamoja na kutimuliwa bado nguvu yao ipo pale pale!!
Waanzilishi wa simba ndiyo waliobanduliwa soma uzi vizuriKwahiyo yanga walibanduliwa na mwarabu? Mzee manara vp ye hakubanduliwa kweli? Mzee k naye vp hakubanduliwa kweli?
Siyo mabasha ni magashoNdo kusema simba ni mabasha siyo? Kwamba walikubali kulawitiwa na mwarabu ila umoja wao ukawa pale pale..daaah
Lazima tukumbushane historiaMatumizi mabaya ya muda
Asante studioSiyo mabasha ni magasho
Wakati Mwarabu anafanya yake ilikuwa ndani ya Yanga kwahiyo walioliwa ni wana Yanga. Alafu ndomana hiyo mbegu bado ipo...nikumbushe ya Kabwili please.Doh... Kumbe masimba ni mashoga yaliyotimuliwa Yanga[emoji28]🥱... Hata hvyo nilijiulizaga sana ilikuaje mijanaume mizima kujiita jina la kirembo eti 'Queens'
Kwahiyo katika kujilinda ndo mkaamua kuchomeka mwiko nyuma!?Daima mbele nyuma mwiko hatutaki ushoga
Shida zipi hizo!? Watu wameahidiwa mamilioni na Moize Katumbi unakuja kusema wana shida!?Mazembe wanashida nyingi nje ya uwanja ndio maana hatakufanya vzr kwao mtihani wanaweza fungwa hata sitashangaa kabisa
Ni athari za ushoga yani hawawezi kukazaNa umesahau kitu muhimu sana hayo yaliyotimuliwa yote yalikua mabumbumbu kweli kweli na ndio yaliyoshindwa kutamka neno Young na kutamka Yanga.
Kifupi bila bao la Young hakuna Queens/Simba si unaona hata msemaji wao alikua anasema huku kabana pua et wanasiiiiiiiimbaaaaaa.
Ngoja muone mazembe kitu atafanywa na mwananchi hamtoaminiShida zipi hizo!? Watu wameahidiwa mamilioni na Moize Katumbi unakuja kusema wana shida!?
Mwanadamu anapenda mazuri tu na hasa ukiwa mvivu kutafuta ukweli,wkt wanaenda cheza na Al Hilal ya Ibenge airport walizuiwa 3 times tena nchini kwao wkt vibali vyote wanavyo, ni moja ya timu ambazo mpk serikali yao hawaipendi usifikirie wanapata ushirikiano km zilivyo timu za nchi nyingine haya yote kwakua boss wao ni mpinzani mkubwa sana wa serikaliShida zipi hizo!? Watu wameahidiwa mamilioni na Moize Katumbi unakuja kusema wana shida!?
Jifunze kuandika kwanza ww queen fcHuo ndio upepo wa akili yako, unaweza kuwa hujakitanana mtu Ila ukisoma maandishi yake unamjua tabia na mazingira anayoishi.
Ijue historia ya timu yako ww queen fcUbongo umejaa uchafu wa ajabu, usafishe mkuu.