Sababu ya timu ya Yanga kutumia kauli mbiu ya "Daima mbele nyuma mwiko"na timu ya Simba kutumia kauli mbiu ya "Nguvu moja"

Waanzilishi wa simba ndiyo waliobanduliwa soma uzi vizuri
Hapana umesema wanachama wa yanga ndio waliobanduliwa na mwarabu kwasababu kipindi hicho simba ilikuwa bado haijaanzishwa
 
NYUMA MWIKO kesho ndo wanaaga mashindano ya CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…