Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
Naomba kutumia mifano ya vijana wawili; Esau na Yakobo
Esau alikuwa mwindaji na Yakobo alipenda kukaa nyumbani (mfugaji, mkulima)
• Esau anategemea kuamka asubuh kwenda kutafuta chakula(kuwinda), bila kutoka siku hiyo anashinda na njaa. Tatizo lake sio kwamba ni mvivu, hapana tatizo lake ni kushindwa ku'process ama kuongezea thamani ya anachopata
• Yakobo ana chakula mda wote, alipenda kukaa nyumbani na hakika lazima alikuwa anatunza vitu vyake kwa utulivu na kuvihifadhi. Siku kaka yake anarudi akiwa amekosa mawindo( hapa sababu alitegemea kuua mnyama na yamkini walipungua eneo lile) anarudi na njaa kali, anamuomba ndugu yake chakula, ananunua meal ya siku moja kwa thamani ya haki yake ya uzaliwa wa kwanza
Tunajifunza nini?
• Wapo watu mifumo yao ya kipato hutegemea siku hiyo ameenda kuwinda, asiporudi na chakula analala njaa( mfano; jamii yetu ya kiAfrika)
• Wapo watu wanategemea mali inayoisha(mfano madini, mafuta, gesi) siku vikiisha wanarudia hali zao na wanatembeza bakuli(mfano jamii yetu ya ki'Africa)
• Wapo watu wakikosa fedha ya kula siku hiyo, huuza chochote cha thamani walichonacho kwa bei yoyote ili wapate mlo wa siku hiyo(rejea nchi za ki'Afrika wanavyo sign mikataba mibovu ili tu wapate hela ya wakati huo kuendesha serikali)
• Wako watu wanachopata kidogo wanakiongezea thamani, walichopata kinakuwa na faida sio tu kwao bali kwa watoto, wajukuu na Taifa lao(mfano wengi wa jamii ya watu weupe)
• Wapo watu wanafanya kazi za nguvu, mfano kukimbiza mnyama kila siku kwa ajili ya mlo, siku akiamka vibaya kiafya analala njaa. Hamna wazo la kuwekeza ili wakati ujao baada ya kuishiwa nguvu aishi vizuri. Tumuige Yakobo
Tusemeje sasa;
Mtu smart sio kwamba hafanyi kazi, bali ile kazi anayofanya ina thamani ipi hapo baadaye kwake na kwa watoto ama wajukuu.
Miaka yangu niliyopewa kuishi nimejifunza asilimia zaidi ya 90 ya Afrika wana mfumo wa fikra sawa na Esau. Ningalikuwa mwanahistoria ningalitafuta tafuta kujua Genes za Esau kweli sio za muAfrika?
Solution;
Wapo watu wachache walio nje ya mfumo huu wa Fikra, hao wapo kwenye jamii yetu;
• Ni madaktari wazuri
• Ma'injinia wazuri
• Wanasiasa wazuri(hapa wapo wachache, sio kujua kuongea ni siasa nzur)
Hawa watatusaidia, na tukimfahamu mmoja(hasa kwenye siasa) tusimkatishe tamaa sababu anaweza kusaidia kwa sehemu kubwa kubadili fikra za Esau.