mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.
Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,
Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.
Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,
ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.