Uchaguzi 2020 Sababu ya Upinzani kuanguka 2020

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
685
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.

Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,

Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.

Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,

ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.
 
Wala sio sababu ya msingi, sababu ya msingi ni mtu kupiga kura na kukesha kuilinda halafu mtu anakuja kuunga mkono juhudi kwa kebehi.

Sasa hakuna mtu mwenye muda mchafu wa kupigania mtu anayepigania tumbo lake, watanzania sio wajinga kama ambavyo wapinzani na wengineo wanafikiri.

Mwaka huu natabiri anguko la idadi kubwa ya wapiga kura, na hata hao watakaopiga wataenda kuipigia kura CCM hivyo upinzani ujiandae kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.

Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,

Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.

Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,

ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.
Itakuwa vigumu mno kwa upinzani kushinda iwapo wananchi watakuwa legelege na wenye kulaumu upinzani kama wewe. Kuna magumu mengi mno ya kushinda hasa siku hizi ambapo serikali inatumia nguvu ya dola kuua upinzani, hata Uingereza ingekuwa jambo hilo linafanyika basi chama kingekuwa kinatawala miaka 60 kama ilivyo Tz.
 
Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.

Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,

Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.

Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,

ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.
Kwani ACT hawakushiriki uchaguzi mkuu wa 2015?
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Unataka wao walinde kura kwani wana jeshi la polisi?

Jukumu la kulinda kura sio la Mbunge au diwani unayempigia kura, ni jukumu la wote ukiwepo wewe unayepiga hizo kura.
 
Back
Top Bottom