mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 685
Itakuwa vigumu mno kwa upinzani kushinda iwapo wananchi watakuwa legelege na wenye kulaumu upinzani kama wewe. Kuna magumu mengi mno ya kushinda hasa siku hizi ambapo serikali inatumia nguvu ya dola kuua upinzani, hata Uingereza ingekuwa jambo hilo linafanyika basi chama kingekuwa kinatawala miaka 60 kama ilivyo Tz.Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.
Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,
Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.
Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,
ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.
Kwani ACT hawakushiriki uchaguzi mkuu wa 2015?Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.
Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania,
Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi.
Wananchi hatupo tayari kukipa chama kura ambazo hawawezi kuzilinda na kuzipigania,
ACT ndicho chama pekee kinachoweza kuaminiwa katika hili maana kwanza hawajawahi pewa kura hivyo wanautetezi na kutuaminisha tuwajaribu wao.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa.