McNair
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 182
- 130
Let me jump directly to the point. Hivi ni kwa nini mwanaume fulani anakuwa na kaumbele kadogo mno ka uume na mwingine hapana?
Mi sababu yangu moja inaweza kuwa kumfanyia tohara mara tu baada ya kuzaliwa ambayo husababisha kudumaa kwa ukuaji wa uume. Wewe unafikiria ni sababu ipi nyingine?
Nawasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app