Sababu ya vitambi ni kula chakula kingi kupita mahitaji yetu.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi

Ugali, wali au makande mchana

Wali jioni.

Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia mwilini mwako kila siku. Kwa wale wanywa pombe kuna calories za pombe hapo juu yake.

Mahitaji yako ya mwili ya siku yanaweza kuwa ni Robo tu ya mlima wa chakula unaokula. Lakini tumbo limesha tanuka na ili lijae unahitaji 1/2 ya mchele jioni.

Kupunguza portion ya chakula ni njia moja wapo kama hutaki unene pia kuongeza unywaji wa maji.
 
Hiyo sababu haina mashiko kabisa, tatizo ni ile unakula hayo yote harafu unakaa kizembe tu unaanika miguu kwenye kocho kuangalia sultan

Kukimbia huwez, hata mpira huchez, kuruka kamba huwez, unajaza mafuta na gesi mwilini tu, unaota kitambi hata hujiwezi kitandani 6x6 mkeo nachapiwa na wajanja,

Wanaume wa dar ndii mpo hivo mmelegea sanaa
 
Niliwahi kumsikia mlevi mmoja akisema. 'kitambi hakina formula'
Binafsi naamini kuwa adui wa kitambi ni kufanya mazoezi.
 
Mazoezi yanaimarisha mwili lakini ni 20% ya kupunguza uzito. Chakula unachokula ni 80% kinachangia uzito wa mwili.

Mwili una uwezo wa kujihifadhia chakula. Tulipokuwa hunters tuliweza kukaa siku tatu au zaidi bila kupata chakula cha kutosha na mwili ulitumia akiba yake kujitosheleza.

Baada ya maendeleowya kilimo chakula kilianza kuwa kingi na mwili unahifadhi bila ziada kutumika.
 
Una digestion nzuri inawezekana kutokana na umri wako. Kwa vijana mabadiliko ya mwili (homornal changes) yanakula sana energy
by the way mwili unatengenezwa nilipata bahati ya kutumika vilivyo when i was young
form there sjawah kumiliki tumbo kubwa
 
Kitatambi ni utapiamlo, yo don't need to eat fat inorder to become fat. Wanga tu ilozodi inakupa mafuta ya ziada.
 
Mimi nipo na mamake Elitwege, naning'iniza miguu mpaka tumbo kwishney! Jamani njooni mpate uzoefu kwangu kupitia mama Elitwege!
 
Ukitaka ona Aina ya vitambi mbalimbali nenda llmba pale

Ova
 
Umeshawahi kukusanya zile chapati mbili na supu unaanzia kama kifungua kinywa asubuhi

Ugali, wali au makande mchana

Wali jioni.

Ukuvikusanya vyote pamoja utaona mlima wa chakula unao ingia mwilini mwako kila siku. Kwa wale wanywa pombe kuna calories za pombe hapo juu yake.

Mahitaji yako ya mwili ya siku yanaweza kuwa ni Roho tu ya mlima wa chakula unaikula. Lakini tumbo limesha tanuka na ili lijae unahitaji 1/2 ya mchele jioni.

Kupunguza portion ya chakula ni njia moja wapo kama hutaki unene pia kuongeza unywaji wa maji.

Nasikia kusex sana kunapunguza unene kwa mwanaume, sbb utatumia calories nyingi, hivyo kusaidia kupunguza extra calories za kunenepeana.. Au😀
 
Back
Top Bottom